mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwa kweli hata mimi nimecheka sana
Kwa mwenye Bunddle ya kutosha anaweza kumwangalia hapa alivyo serious kwenye manunuzi, atakuwa sio mzima huyu jamaa
Kauzuuu.
Chini Ana sandroz
Man of the match.
Kila nikimkuta sehemu Lazma nicheke.