Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Ila tuseme tu labda kweli atatumiwa bela kutoka urusi kama alivodai labda kuna madon yako urusi wameipenda nyumba sasa wakaona wamtumie jamaa halaf hela itatumwa,
Ila ukwel ni kwamba hizo nyumba hakuna mtanzania hata awe na hela kias gani atazinunua ..wamrudishishie lugumi tu
 
Wanachotaka yono ni pesa au appearance ya mtu? Wampe tu mzee wangu, akale bhata.

Watanzania tuache ushamba wa kumjaji mtu kwa macho. Huo ni umaskini ulio kithiri. Ndio maana tunachunguzana had majumbani tunakula nini.

Umbea tu basi.
Mkuu ,,,kwan tumemjaji? Mbona yuko fresh appearance ,,tai shat zuri, na suruari nzur tu tena so modo kama za vjana wa cku hiz? Ishu ni matukia kwenye mnada Mara kupepewe, Mara polis, Mara sitembei na hela mfukoni, Mara naombeni PC nifanye mwamala, Mara subirin saa 48. Na ulie ule usiriasi wake sasa nadhan hata angekuwa mshua wako sidhana mnakaa na kupga stori
 
Ndio, kama mtu anamihela yake ipo uswis anaitoaje sasa muda huo huo? Unaijua 25% ya bilion 2 wew? Unawezaje kutembea nayo usawa huu?

Unataka kunambia kuwa hakuna watz wakawaida kabisa na wanamijihela yao uswis na nchi zingine za ulaya?
 
Jana ilikua siku yake murua kabisa kulala na mrembo wa bongo movie, basi tena bank wamekatisha ndoto zake
Hahahah pesa hizi jamani dah,,, kuna maza nahisi alikuwa kashalowa kabisa hapo mpaka anapepewa yani angekuwa hio mipunga anayo ni noma.
 
Nyumba kali sana, ni mansion kama za wasanii wa mamtoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…