Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio 1969.1969 ?
Mbona kitambo sana mkuu.
Vyuma vimekaza mpaka jamaa kachanganyikiwaView attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Hahaaha wakili naye noma eti shikamoo wakiliHii wiki kazi kweli kweli huku wakili feki kule tajiri feki [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hata mm niliwaza nikawa nacheka saaana mpaka watu wakanigeukia kushangaa nachaka nnView attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Hata mm niliwaza nikawa nacheka saaana mpaka watu wakanigeukia kushangaa nachaka nnView attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Wanachotaka yono ni pesa au appearance ya mtu? Wampe tu mzee wangu, akale bhata.Hata mm niliwaza nikawa nacheka saaana mpaka watu wakanigeukia kushangaa nachaka nn
Mkuu ,,,kwan tumemjaji? Mbona yuko fresh appearance ,,tai shat zuri, na suruari nzur tu tena so modo kama za vjana wa cku hiz? Ishu ni matukia kwenye mnada Mara kupepewe, Mara polis, Mara sitembei na hela mfukoni, Mara naombeni PC nifanye mwamala, Mara subirin saa 48. Na ulie ule usiriasi wake sasa nadhan hata angekuwa mshua wako sidhana mnakaa na kupga storiWanachotaka yono ni pesa au appearance ya mtu? Wampe tu mzee wangu, akale bhata.
Watanzania tuache ushamba wa kumjaji mtu kwa macho. Huo ni umaskini ulio kithiri. Ndio maana tunachunguzana had majumbani tunakula nini.
Umbea tu basi.
Ndio, kama mtu anamihela yake ipo uswis anaitoaje sasa muda huo huo? Unaijua 25% ya bilion 2 wew? Unawezaje kutembea nayo usawa huu?Mkuu ,,,kwan tumemjaji? Mbona yuko fresh appearance ,,tai shat zuri, na suruari nzur tu tena so modo kama za vjana wa cku hiz? Ishu ni matukia kwenye mnada Mara kupepewe, Mara polis, Mara sitembei na hela mfukoni, Mara naombeni PC nifanye mwamala, Mara subirin saa 48. Na ulie ule usiriasi wake sasa nadhan hata angekuwa mshua wako sidhana mnakaa na kupga stori
Mademu kwa pesa shobo balaa,,,yani sijui hata huyo mmama atamwambiaje mumewe maana ni mambo ya aibu mixa kumpepea jamaaNi kwel maana warembo kwa pesaa walianza kuleta shobo hapo
Hahahah pesa hizi jamani dah,,, kuna maza nahisi alikuwa kashalowa kabisa hapo mpaka anapepewa yani angekuwa hio mipunga anayo ni noma.Jana ilikua siku yake murua kabisa kulala na mrembo wa bongo movie, basi tena bank wamekatisha ndoto zake
Nimeisikia hiyo..wezake walikuwa wanapanda milioni kumi yeye ni gia ya mia tatu,hamsini kwa tisini..nikaona ngozi nyeupe inapiga simu tu.Mzee Nouma aisee! Yeye alikua anasema itapendeza mill 800, au tufanye million 900
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Nyumba kali sana, ni mansion kama za wasanii wa mamtoniIla tuseme tu labda kweli atatumiwa bela kutoka urusi kama alivodai labda kuna madon yako urusi wameipenda nyumba sasa wakaona wamtumie jamaa halaf hela itatumwa,
Ila ukwel ni kwamba hizo nyumba hakuna mtanzania hata awe na hela kias gani atazinunua ..wamrudishishie lugumi tu