Huyu mzee Chenga walahi. Bado anaamini Mwanaye atakuwa Rais. Labda Rais wa Bumbuli

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Mwakumbuka akiwa anahojiwa alivyojibu kwa dhereu na kiburi.

Mwenyewe anacho kilifikiri kinanguvu. Hehehee! Walahi tutaona mengi.

Wewe mzee miyeyusho sana. Humwoni Emma the boy alivyowekewa pilipili Manga na binzari. Wajipa moyo. Kama huo mfumo unao endelea! Miye niko palepale tuliporushiana makonde.

Na bado
 
February Marope na Dada yake wanakula laana ya kumtapeli Mzungu wa Migodini.
 
Acha wamalizane wao kwa wao...
Fisi ni kawaida yao. Mbubujikwa machozi Mwashambwa vs. Gentleman Tlaatlaah 😂😂😂

IMG-20260827-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom