October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Hivi huwa hamchoki kuapia? Au Mungu wenu wa Baali umelala?Kiukweli Tanzania kwa Sasa ni taifa nililikufa
Ila nakwambia kila mtu atalipa alichokitenda
Tena kwa gharama kubwa sana
Kwa nini βLaisiβ na siyo βRaisiβ
Mleta mada unaona hayo maneno kwenye maandishi yako hapo juu yapo swwa?
February Marope na Dada yake wanakula laana ya kumtapeli Mzungu wa Migodini.Mwakumbuka akiwa anahojiwa alivyojibu kwa dhereu na kiburi.
Mwenyewe anacho kilifikiri kinanguvu. Hehehee! Walahi tutaona mengi.
Wewe mzee miyeyusho sana. Humwoni Emma the boy alivyowekewa pilipili Manga na binzari. Wajipa moyo. Kama huo mfumo unao endelea! Miye niko palepale tuliporushiana makonde.
Na bado
jazia tunyama kidogo nione walivyomtapeli. KhaaFebruary Marope na Dada yake wanakula laana ya kumtapeli Mzungu wa Migodini.
Story ya kitambo sana hiyo mkuu,ni ya 2010.jazia tunyama kidogo nione walivyomtapeli. Khaa
humu imo ???Story ya kitambo sana hiyo mkuu,ni ya 2010.
Yes ipo itafute ilishazungumzwa sana mkuu.humu imo ???
Fisi ni kawaida yao. Mbubujikwa machozi Mwashambwa vs. Gentleman Tlaatlaah πππAcha wamalizane wao kwa wao...
Vaveja sanaYes ipo itafute ilishazungumzwa sana mkuu.