KING OF THE JUNGLE!
Nafyetukaa fyeeeeeeee kama mshale unaenda kwa kasi kumuua swala!!
Ebanaeeee
Huyu msuquma akipita tena itakua fedheha!!!
Kwanini anatuchukulia poa hivi?! Ebanaaaae huyu mzeee natamani hata nimtafune aseee anaendesha nchi kama anaendesa kiosk aseee..
Wasomi wanalia njaaaaa, kazi hakuna,life kitaa limekua gumu kama chuma cha puaaaa
Aseee wasomi nisaidieni mbona wakati wa kikwete kulikua na afadhali,? Alikua anaendesha vipi hili gurudumu?? Maana Mimi sielewiii nielewesheni huyu mzee kakwama wapi kwani