Huyu mzee Spurs watamuua

daaa mzee ana tactics za kibabe sanaaa Jana kumuingiza dogo mmoja Jina sijui tangatanga[emoji23][emoji23][emoji23]mpira wa kibabe hatare inafaa angepewa nchi aongoze tu

[emoji3][emoji3][emoji3]sema mkuu ile game ya jana walikua wanashinda maana chance kibao wamekosa, ndio ivoo mpira hautabiriki

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ile game walikuwa wanashinda tatizo wamecheza na liver
 
[emoji3][emoji3][emoji3]sema mkuu ile game ya jana walikua wanashinda maana chance kibao wamekosa, ndio ivoo mpira hautabiriki

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ni timu kukosa magoli tu, hata mwenzake aliyetimuliwa naye aliweza.
 
naamini liver wanatumia uchawi sio bure, sahv naanza kuikumbuka ile clip iliyosambaa ikimwonesha klopp akiwa kwa waganga mwishon mwa mwaka 2018...
 
Mlianza na desemba hii hamchomoki mkaja na var kisha ikaja ww3 sasa mpo kwa uganga sasa sijui mtahamia wapi
 
Wataamia kwenye Impeachment

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…