YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Hii Ilikua jana kati ya Spurs vs Liver, SON alikosa bao moja la wazi mzee wa watu ikabidi apige magoti [emoji23][emoji23].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaa waga namkubali sana uyu mwamba special oneHii Ilikua Jana Kati Ya Spurs Vs Liver, SON Alikosa Bao Moja La Wazi Mzee Wa Watu Ikabidi Apige Magotiii [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1320854
View attachment 1320855
daaa waga namkubali sana uyu mwamba special one
daaa mzee ana tactics za kibabe sanaaa Jana kumuingiza dogo mmoja Jina sijui tangatanga😂😂😂mpira wa kibabe hatare inafaa angepewa nchi aongoze tuMkuu Uyu Mzee Ana Gundu Sijui Sasa Hivii Bora Atulie Kwanza
Sent from my iPhone using JamiiForums
daaa mzee ana tactics za kibabe sanaaa Jana kumuingiza dogo mmoja Jina sijui tangatanga[emoji23][emoji23][emoji23]mpira wa kibabe hatare inafaa angepewa nchi aongoze tu
Ile game walikuwa wanashinda tatizo wamecheza na liver[emoji3][emoji3][emoji3]sema mkuu ile game ya jana walikua wanashinda maana chance kibao wamekosa, ndio ivoo mpira hautabiriki
Sent from my iPhone using JamiiForums
usisahau liver walicheza vile kwavile walikua wanaongoza[emoji3][emoji3][emoji3]sema mkuu ile game ya jana walikua wanashinda maana chance kibao wamekosa, ndio ivoo mpira hautabiriki
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ni timu kukosa magoli tu, hata mwenzake aliyetimuliwa naye aliweza.[emoji3][emoji3][emoji3]sema mkuu ile game ya jana walikua wanashinda maana chance kibao wamekosa, ndio ivoo mpira hautabiriki
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ile game walikuwa wanashinda tatizo wamecheza na liver
Naomba hiyo videonaamini liver wanatumia uchawi sio bure, sahv naanza kuikumbuka ile clip iliyosambaa ikimwonesha klopp akiwa kwa waganga mwishon mwa mwaka 2018...
Mlianza na desemba hii hamchomoki mkaja na var kisha ikaja ww3 sasa mpo kwa uganga sasa sijui mtahamia wapinaamini liver wanatumia uchawi sio bure, sahv naanza kuikumbuka ile clip iliyosambaa ikimwonesha klopp akiwa kwa waganga mwishon mwa mwaka 2018...
Mlianza na desemba hii hamchomoki mkaja na var kisha ikaja ww3 sasa mpo kwa uganga sasa sijui mtahamia wapi