miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Yaani imebidi niirudie tena. Kidogo nimeng'amua. Kwamba mzungu ni mshirikina. Hiyo pipe imeunganika inapelema juice straight mpk kwenye tumbo.. na wewe ukajibu mapigo. Yaani kumbe nyie muna nguvu za asili, sijui niwaite wachawi? Ama ndo hiyo Elimu dunia? Elimu ahera?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]