Huyu mzungu ina maana ameiona Tanzania tu?

Huyu mzungu ina maana ameiona Tanzania tu?

Angalau na beberu kasema ukweli kabisa.kodi za kipunguani tu Kila sehemu.kasema kabisa kampuni lenye kujieleza kama Nike haliwezi kuwekeza Tanzania ambapo Kodi zake ni kichaa tu anayekubaliana nazo kuwa ni rafiki.mfano Kodi ya gari ambapo Nchi haina kiwanda Cha magri lakini yenyewe inatoza Kodi kubwa kuliko hata watengenezaji wenyewe.Kwa ushauri wangu Bunge la Tanzania lifutwe tu.Maana ndiyo chanzo Cha kupitisha mambo ya hovyo.
 
Back
Top Bottom