Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Nimesikitika sana baada ya kusikia kauli ya mzungu mmoja anayefanya shughuli zake mkoani Arusha.
Alikuwa akiongea kuhusiana na umeme kukatika, maji na changamoto za miundombinu mingine akasema eti mambo hayo huwa yana reflect uwezo wa kufikiri wa viongozi.
Sasa nikawa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya changamoto ya umeme na uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu?