Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Ulimrekodi?Kesi ya uhaini ingempendeza zaidi.Nimesikitika sana baada ya kusikia kauli ya mzungu mmoja anayefanya shughuli zake mkoani Arusha.
Alikuwa akiongea kuhusiana na umeme kukatika, maji na changamoto za miundombinu mingine akasema eti mambo hayo huwa yana reflect uwezo wa kufikiri wa viongozi.
Sasa nikawa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya changamoto ya umeme na uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu?
Upewe bandari zote za bara na pwani.Huna baya.Ameniboa sana, kwanza ccm hoyee.
Tanzania imefanikiwa katika nini?Kaongea ukweli tatizo likwapi
Nashukuru tajiri.Ngoja ninunue counter book "kwaya" seven kwa ajili ya kuorodhesha"watumishi' hao.Asante sana wewe unafaa kabisa kuwa mratibu wa shughuli za makuli pale DP World makao makuu.
Hilo haliitaji kusemwa na mzungu wala mchina, na wala sio tusi.Nimesikitika sana baada ya kusikia kauli ya mzungu mmoja anayefanya shughuli zake mkoani Arusha...
π π π mkuu unajua wewe ni mnafiki sana?Ameniboa sana, kwanza ccm hoyee.
Wivu tuNimesikitika sana baada ya kusikia kauli ya mzungu mmoja anayefanya shughuli zake mkoani Arusha.
Alikuwa akiongea kuhusiana na umeme kukatika, maji na changamoto za miundombinu mingine akasema eti mambo hayo huwa yana reflect uwezo wa kufikiri wa viongozi.
Sasa nikawa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya changamoto ya umeme na uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu?
Ameongea ukweliNimesikitika sana baada ya kusikia kauli ya mzungu mmoja anayefanya shughuli zake mkoani Arusha.
Alikuwa akiongea kuhusiana na umeme kukatika, maji na changamoto za miundombinu mingine akasema eti mambo hayo huwa yana reflect uwezo wa kufikiri wa viongozi.
Sasa nikawa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya changamoto ya umeme na uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu?
Nenda kamfuatilie Millard Ayo utaona mahojiano yake.Ngoja kwanza.
Uzalendo ni kukataa ukweli?kama ndio hivyo basi mm sio MzalendoWewe si mzalendo