Kwa ajili ya tamasha la utalii. (amemwazimisha)Kampa kwa special task au kampa like yamekua ya serikali?
Kweli mwenye nacho huongezewaLANDROVER 70ML? anyway sadaka hzo anapiga nyng sana haikatwi kodi wala halipi wafanyakazi wanajitolea hata km anashamba yakulima wanamlimia bure nakupalilia bure.chakula hadi nguo wanamlipia
Huyu Makonda ni msanii wa full time. Hakuan kiongozi hapo. Halafu anajua kusoma upepo wa afuate kina nani wanaofanana naye. Huyu ''nabii'' kama anaingia rais anayejitambua ni wa kuweka ndani aozee huko, aache kutapeli fedha za wajinga.Kwa ajili ya tamasha la utalii. (amemwazimisha)
Na wewe kwa akili zako unadhani waumini ndio wanatoa hela hadi mtu anatajirika hivyo..kwanza kwa waumini gani aliyonao..Pesa zipo kwa waumini wajinga.
Akili ya kifukara! Badala ya kupambana na upatikanaji wa ugali wako unafuatiliq maisha ya wengine...Wakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.
Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.
Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?
Huu ni utakatishaji fedha. Kuna mambo anayaficha na hataki achunguzweWakuu,