Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.

Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.

Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?

Akili ya kifukara! Badala ya kupambana na upatikanaji wa ugali wako unafuatiliq maisha ya wengine...
 
Wakuu,

Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.

Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.

Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?

Huu ni utakatishaji fedha. Kuna mambo anayaficha na hataki achunguzwe
 
Makusanyo ya kanisa,sadaka zote zinazotolewa zinaingia kwenye account yake,kanisa ukumbuke ni la kwake kwahiyo hata kama anapata ufadhili kutoka nje lazima uingie kwenye account yake ,kila mmoja kadri anavyobarikiwa na maombi anatoa kulingana na mfuko wake,ukumbuke kuna wachimba madini,wafanya biashara wakubwa,wakuu wa taasisi n.k.zote zinaingia kwenye account yake binafsi,sasa kwanini asiwe na hela ndefu kiasi hicho...
 
Back
Top Bottom