Point hii, ila sasa atajikaanga mwenyewe kwa mafuta yake kwa hiki anachokifanya soon or laterNa wewe kwa akili zako unadhani waumini ndio wanatoa hela hadi mtu anatajirika hivyo..kwanza kwa waumini gani aliyonao..
Jiongeze.
Hizi siyo Landrover; ni RANGE ROVERWakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.
Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.
Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?
Hivi hawa watumishi wa Mungu wakishakuwa na mtaji wao huwa hawaruhusiwi kufanta investment? Waumini gani wanaoweza kumsababisha Mtumishi wa Mungu akatoa magari RANGEROVER 10, bila kuwa na mfumo mwingine wa peas inayotka nje ya waumini?Pesa zipo kwa waumini wajinga.
Dili za utakatishaji pesa haramu usitishikeWakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.
Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.
Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?
Kampa bure ?Wakuu,

Baraka kutoka kwa Yesu hizo ni ndogo sana, ana mara 100 za hizo.Wakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.
Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.
Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?
We unadhani zimetoka wapi zaidi ya kwa wajinga?!Wakuu,