Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!

Na wewe kwa akili zako unadhani waumini ndio wanatoa hela hadi mtu anatajirika hivyo..kwanza kwa waumini gani aliyonao..
Jiongeze.
Point hii, ila sasa atajikaanga mwenyewe kwa mafuta yake kwa hiki anachokifanya soon or later
 
Wakuu,

Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.

Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.

Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?

Hizi siyo Landrover; ni RANGE ROVER
Gari moja hapo haipungui million 200; usicheze na range!
 
Pesa zipo kwa waumini wajinga.
Hivi hawa watumishi wa Mungu wakishakuwa na mtaji wao huwa hawaruhusiwi kufanta investment? Waumini gani wanaoweza kumsababisha Mtumishi wa Mungu akatoa magari RANGEROVER 10, bila kuwa na mfumo mwingine wa peas inayotka nje ya waumini?

Huyu lazima atakuwa ana investment zingine ambazo huwa znamwingizia hela ya ziada.

Na sisi waumini nasi tunatakiwa kubadilia; tuache mtindo wa kuwa tunawategemeza kwa sadaka tu hawa watumishi wa Mungu. Tufike mahali tuwe tunawatengenezea investment au tunawashauri kufanya innvestment
 
Na bado kuna majibwa ukiyaambia hawa ni wasanii tu hakuna nabii hapo wanakomaaaa wanaweza hata kukuua , kimsingi wajinga ndio waliwao na ni mtaji kwa hawa wasanii uchwara.
 
Wakuu,

Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.

Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.

Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?

Dili za utakatishaji pesa haramu usitishike
 
Kampa bure ?
 
Baraka kutoka kwa Yesu hizo ni ndogo sana, ana mara 100 za hizo.
by the way , ni tamasha la Land Rover na si kwamba amempa.
 
Wakuu,

Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.

Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.

Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?

We unadhani zimetoka wapi zaidi ya kwa wajinga?!
 
Back
Top Bottom