Sadaka zetu na kafaraWakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.
Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.
Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?
We kila wiki achilia mbali kila siku anaingiza kiasi gani?Na wewe kwa akili zako unadhani waumini ndio wanatoa hela hadi mtu anatajirika hivyo..kwanza kwa waumini gani aliyonao..
Jiongeze.
Akili ya kifukara! Badala ya kupambana na upatikanaji wa ugali wako unafuatiliq maisha ya wengine...
umemaliza.mnaosema michango nasema bado hamna mnachojua kuhusu deals zinazofanywa nchini mwenu
kopi end pesti.Hii festival ime copy ile ya Uingereza ya siku za karibuni tuhapa waliyozitoa kwenye maonyesho land Roversalizozitumia Malkia Eliza kipindi chote cha utawala wake.
Nani ametapeliwa na nabii akalalamika?Huyu Makonda ni msanii wa full time. Hakuan kiongozi hapo. Halafu anajua kusoma upepo wa afuate kina nani wanaofanana naye. Huyu ''nabii'' kama anaingia rais anayejitambua ni wa kuweka ndani aozee huko, aache kutapeli fedha za wajinga.
Siyo anaweza Geo Devie ni tajiri haswa watoto wake kina Monica wanatembelea gari kali zaidi ya hizo, biashara yake ya kanisa imekubali sana huku Arusha tangu nikiwa mdogo jina lake liko viral sanaKazi ya kiroho inalipa Sana ukiwa umeshakuwa na jina .
Huyo akikusanya sadaka
Ukienda kumuona lazima ulipie
So mil 700 ni hela ndogo Sana.
Anaweza kuwa na utajiri kuzidi ya huo
Nyie watu mna mzaha sana,Waumini wanatoa sadaka zinazoliwa na kiongozi wao,kisha wakisikia HAMAS wameuawa wanasema mungu wa waisrael anatenda,ilhali ni military aid from U.S
MAPUMBAVU HHAYATAISHA
Yaani dunia hii ukiwa Mtumishi wa Mungu tu ukamiliki pesa unaonekana Mwizi wa Sadaka za WauminiWakuu,
Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.
Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.
Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?
Hahah Mkuu Muda hamngoji mfuku nyuku..Mtumishi wa umma anayelipwa mshahara na kodi zetu anapewa magari 10 na mtu binafsi alafu unasema nafuatilia 'maisha ya watu' ya wengine?
Unajua huyo Nabii kampa favor gani makonda hadi kutoa msaada wa hayo magari? Kuna ubaya gani kuhoji favors anazopokea kiongozi wa serikali?
Akili yako imechanganyikiwa kama jina la ID yako.
Jambo hili nimelishuhudia watu wanaotaka kuonana na manabii ni wengi sana kwa nabii millioni 10 anaweza kuingiza kwa masaa tu mana gharama ya kumuona nabii huwa ni kuanzia laki 5 na kuendeleaKazi ya kiroho inalipa Sana ukiwa umeshakuwa na jina .
Huyo akikusanya sadaka
Ukienda kumuona lazima ulipie
So mil 700 ni hela ndogo Sana.
Anaweza kuwa na utajiri kuzidi ya huo
Duh.. These dudes they make a lot of moneyJambo hili nimelishuhudia watu wanaotaka kuonana na manabii ni wengi sana kwa nabii millioni 10 anaweza kuingiza kwa masaa tu mana gharama ya kumuona nabii huwa ni kuanzia laki 5 na kuendelea