Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!

Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!

Kwa utajiri alionao jamaa magari kwake ni vitu vidogo sana, kuhusu pesa anatoa wapi ni sadaka za waumini, ni staili ya mwamposa wao wanakutapeli huku umeridhika na unasema Ameen.

Uhakika wa kesho utakula nini huna mfukoni una elfu mbili tu ila unaitoa sadaka kwake unasema umeitoa kwa mungu
 
Wakuu,

Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.

Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.

Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?

Sadaka zetu na kafara
 
Na wewe kwa akili zako unadhani waumini ndio wanatoa hela hadi mtu anatajirika hivyo..kwanza kwa waumini gani aliyonao..
Jiongeze.
We kila wiki achilia mbali kila siku anaingiza kiasi gani?

Bhakhressa mwenyewe alitajirika kwa pesa za masikini tu, lakini kwa kuwauzia bidhaa ndogo ndogo…sembuse hao wanachanganya maskini na matajiri zaidi kwenye makanisa yao?
 
Unabii ni utapeli wa hali ya juu na una pesa nyingi. Ni wale waganga mashuhuri wanaoamua kuweka tunguri chini na kutumia Biblia ili kupata pesa kirahisi zaidi. Wajinga ni wengi katika swala la imani. Yesu aache kuwapa unabii Wayahudi wenzake akupe wewe Mwafrika? Acheni hizo!!!
 
Akili ya kifukara! Badala ya kupambana na upatikanaji wa ugali wako unafuatiliq maisha ya wengine...

Mtumishi wa umma anayelipwa mshahara na kodi zetu anapewa magari 10 na mtu binafsi alafu unasema nafuatilia 'maisha ya watu' ya wengine?

Unajua huyo Nabii kampa favor gani makonda hadi kutoa msaada wa hayo magari? Kuna ubaya gani kuhoji favors anazopokea kiongozi wa serikali?

Akili yako imechanganyikiwa kama jina la ID yako.
 
Huyu Makonda ni msanii wa full time. Hakuan kiongozi hapo. Halafu anajua kusoma upepo wa afuate kina nani wanaofanana naye. Huyu ''nabii'' kama anaingia rais anayejitambua ni wa kuweka ndani aozee huko, aache kutapeli fedha za wajinga.
Nani ametapeliwa na nabii akalalamika?
Nawakubali sana hawa manabii wa siku hizi wana akili sana ya kutafuta pesa
 
Kazi ya kiroho inalipa Sana ukiwa umeshakuwa na jina .

Huyo akikusanya sadaka
Ukienda kumuona lazima ulipie

So mil 700 ni hela ndogo Sana.

Anaweza kuwa na utajiri kuzidi ya huo
Siyo anaweza Geo Devie ni tajiri haswa watoto wake kina Monica wanatembelea gari kali zaidi ya hizo, biashara yake ya kanisa imekubali sana huku Arusha tangu nikiwa mdogo jina lake liko viral sana
 
Iko siri kubwa kwa walio fanikiwa ILA MWAMBA KWENYE ELIMU ya utoaji huenda hapa bongo kwa watumish hakuna anaye mkuta kwa utoaji NI MWAMBA KWELI KWELI wengi amewapa shavu,,mitaji,,kulipa madeni,,yatima,,wajane wana MUELEWA sanaaa ila siri ya mafanikio yake ITABAKI KUWA SIRI KUBWA
 
Waumini wanatoa sadaka zinazoliwa na kiongozi wao,kisha wakisikia HAMAS wameuawa wanasema mungu wa waisrael anatenda,ilhali ni military aid from U.S
MAPUMBAVU HHAYATAISHA
Nyie watu mna mzaha sana,

Kama sadaka zingekuwa rahisi namna hiyo ingekuwa Kila mtu nabii.
 
Wakuu,

Clouds FM kupitia ukurasa wake wa Twitter, wameposti video inayoonesha magari aina ya Land Rover zaidi ya 10 ya nabii huyo, magari ambayo anaenda kumpa kwa muda mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa ajili ya tamasha la Land Rover Festival.

Swali langu, tuseme at the cheapest price kila Land Rover linacost Milioni 70, magari ambayo yanaonekana kwenye video ni kama 10 maana yake hapo ni zaidi ya Tsh Milioni 700. Hayo ni tuliyoyaona.

Huyo Geo Davie ametoa wapi pesa nyingi hivi?

Yaani dunia hii ukiwa Mtumishi wa Mungu tu ukamiliki pesa unaonekana Mwizi wa Sadaka za Waumini
Huyu Mzee ameanza Huduma miaka ya 1980 asa akimiliki magari hayo c ni Kawaida tu
Acheni wivu na istoshe ninyi mnaomkashifu mna maisha ya Kimasikini balaa
Acheni wivu nani aliwaambia Watumishi wa Mungu hawaruhusiwi kumiliki vitu
 
Mtumishi wa umma anayelipwa mshahara na kodi zetu anapewa magari 10 na mtu binafsi alafu unasema nafuatilia 'maisha ya watu' ya wengine?

Unajua huyo Nabii kampa favor gani makonda hadi kutoa msaada wa hayo magari? Kuna ubaya gani kuhoji favors anazopokea kiongozi wa serikali?

Akili yako imechanganyikiwa kama jina la ID yako.
Hahah Mkuu Muda hamngoji mfuku nyuku..
 
Jamaa naskia ana bet vibaya mno. Za chini. Chini naskia hata mechi ya weekend iliyopita alimuua liva
Acha kabisa
 
Kazi ya kiroho inalipa Sana ukiwa umeshakuwa na jina .

Huyo akikusanya sadaka
Ukienda kumuona lazima ulipie

So mil 700 ni hela ndogo Sana.

Anaweza kuwa na utajiri kuzidi ya huo
Jambo hili nimelishuhudia watu wanaotaka kuonana na manabii ni wengi sana kwa nabii millioni 10 anaweza kuingiza kwa masaa tu mana gharama ya kumuona nabii huwa ni kuanzia laki 5 na kuendelea
 
Back
Top Bottom