Huyu nae anagombea ubunge hata shati Hajanyoosha

Huyu nae anagombea ubunge hata shati Hajanyoosha

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Upuuzii tu kwa form ni shingapi?
1000135032.jpg
 
Wadau wanatamani yale maisha ya anasa wanayo yaona kwa wabunge walio wengi,wanajaribu bahati zao

Hii nchi inamezwa kwa sasa
 
Amepoteza laki tano yake alafu ubunge ndio anausikia kwenye bomba
 
2020 jiwe aliwaduwaza watu! Wakajitokeza kuchukua fomu kama utitiri, hasa watumishi wa umma, Kisha akaagiza wote waliochukua fomu wakatwe mishahara Yao Kwa miezi kadhaa. Watu walibaki wanagugumia maumivu ndani Kwa ndani. Yaani wakaishia kukichangia chama kupitia fomu halafu wakaishia kukatwa mishahara Yao. Duuuh. Jiwe alikuwa jiwe kwelikweli.
 
Back
Top Bottom