Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,829
Nikisema mimi naonekana nasema uongo haya na huyu!
ndio kama unasema uongo tusikuambie...na takwim zako zile!tehe,tehe:A S-fire1:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikisema mimi naonekana nasema uongo haya na huyu!
limbwata au?
nyie bila kupunguzwa macho na kuvutwa masikio hamuend kabisa...wacha mkomeshwe na magume gume :violin:Nawaza kuanzisha NGO ya kuelimisha uma kuachana na hii kitu...
Watu walishindwa kuthibitisha siku moja kama hii kitu ipo!
mie siamini uchawi unafanya kazi,kama yupo mchawi humu aniloge nife....:shock: