Tafuta daycare yoyote nzuri iliyo karibu nawe wakufundishe kuandika kwa ufasaha kijanahttps://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1DLjLg19Jh/
Wenzie wako mazoezini anaenjoy
nayeye
tutamfwatilia
π€£π€£π€£ Mkuu mbona hapo amejitahidi sana, isitoshe huyu ni miongoni mwa waasisi wa jf ila somo la mwandiko ni kamzozo.Tafuta daycare yoyote nzuri iliyo karibu nawe wakufundishe kuandika kwa ufasaha kijana
Amejitahidi sana? Inaonesha kuwa siku za nyuma alikuwa ana hali mbaya sana kiuandishi na kama kuna maendeleo basi mafunzo kutoka kwa daycare anayosomea ameanza kuyaelewaπ€£π€£π€£ Mkuu mbona hapo amejitahidi sana.