Huyu Nandi huyu

Huyu Nandi huyu

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kweli jasili muongoza njia alikua jasili
Screenshot_20200101-213224.png
Screenshot_20200101-194927.png
Screenshot_20200101-194857.png
 
Una uhakika? Au umeandika tu huenda hata yeye hajui kuwa hazimfai ila anavaa kutokana na mazoea labda alizoeshwa tangu utotoni kuvaa za kupitisha hewa.
Sasa umeshasema alizoeshwa tangu utotoni amezoea kupitisha hewa si ndio kupenda huko huko? Naamini kwa pesa, exposure aliyonayo ameshindwa kupata hizo mnazomtaka ninyi avae....pale alipo lazima ana watu wanaomvalisha au hata kumshauri kuhusu mavazi unadhani hao watu wa karibu yake hawazijui aina za chupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ugomvi lakini jua kuzoea si kupenda bali inakulazimu, unaweza shauriwa vizuri lakini usipokee ushauri. Huwezi kupenda kupitisha hewa ukavaa chupi kubwa halafu uvae suruali inayo pana , labda kama chupi utavaa juu ya suruali. Any way, hajui chupi nzuri na hapo Bill nass inabidi alifanyie kazi maana Nandy alishasema Bill nass ndio alimsaidia kujua kuvaa vizuri na kuchagua nywele nzuri anapokuwa na show maana yeye alikuwa bado mshamba mshamba, haya aliyasema akihojiwa na Milard Ayo, Bill nass nae huenda hajui chupi nzuri za kike.
 
Kwani nani kasema anataka kugombana na wewe? Kuzoea maana yake ni kwamba yupo comfortable zaidi anapokuwa amevaa hizo, ndio hukohuko kupenda maana hata hizo zingine anazijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom