Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kweli jasili muongoza njia alikua jasili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ofkozi,ila mtoto mtundu sana huyu,jasili kazi alikua nayo hapa kwa kweliItakuwa vidio ya nyimbo mpya hiyo mkuu...
pink,this time kijani
Ndio anazozipendaNandy sijui kwa nini hajui kuchagua chupi nzuri jamai, kila inayoonekana lazima iwe kubwa kuliko mwili wake.
Una uhakika? Au umeandika tu huenda hata yeye hajui kuwa hazimfai ila anavaa kutokana na mazoea labda alizoeshwa tangu utotoni kuvaa za kupitisha hewa.
Sasa umeshasema alizoeshwa tangu utotoni amezoea kupitisha hewa si ndio kupenda huko huko? Naamini kwa pesa, exposure aliyonayo ameshindwa kupata hizo mnazomtaka ninyi avae....pale alipo lazima ana watu wanaomvalisha au hata kumshauri kuhusu mavazi unadhani hao watu wa karibu yake hawazijui aina za chupi?Una uhakika? Au umeandika tu huenda hata yeye hajui kuwa hazimfai ila anavaa kutokana na mazoea labda alizoeshwa tangu utotoni kuvaa za kupitisha hewa.
Sio ugomvi lakini jua kuzoea si kupenda bali inakulazimu, unaweza shauriwa vizuri lakini usipokee ushauri. Huwezi kupenda kupitisha hewa ukavaa chupi kubwa halafu uvae suruali inayo pana , labda kama chupi utavaa juu ya suruali. Any way, hajui chupi nzuri na hapo Bill nass inabidi alifanyie kazi maana Nandy alishasema Bill nass ndio alimsaidia kujua kuvaa vizuri na kuchagua nywele nzuri anapokuwa na show maana yeye alikuwa bado mshamba mshamba, haya aliyasema akihojiwa na Milard Ayo, Bill nass nae huenda hajui chupi nzuri za kike.Sasa umeshasema alizoeshwa tangu utotoni amezoea kupitisha hewa si ndio kupenda huko huko? Naamini kwa pesa, exposure aliyonayo ameshindwa kupata hizo mnazomtaka ninyi avae....pale alipo lazima ana watu wanaomvalisha au hata kumshauri kuhusu mavazi unadhani hao watu wa karibu yake hawazijui aina za chupi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani kasema anataka kugombana na wewe? Kuzoea maana yake ni kwamba yupo comfortable zaidi anapokuwa amevaa hizo, ndio hukohuko kupenda maana hata hizo zingine anazijuaSio ugomvi lakini jua kuzoea si kupenda bali inakulazimu, unaweza shauriwa vizuri lakini usipokee ushauri. Huwezi kupenda kupitisha hewa ukavaa chupi kubwa halafu uvae suruali inayo pana , labda kama chupi utavaa juu ya suruali. Any way, hajui chupi nzuri na hapo Bill nass inabidi alifanyie kazi maana Nandy alishasema Bill nass ndio alimsaidia kujua kuvaa vizuri na kuchagua nywele nzuri anapokuwa na show maana yeye alikuwa bado mshamba mshamba, haya aliyasema akihojiwa na Milard Ayo, Bill nass nae huenda hajui chupi nzuri za kike.
Kilichokushangaza ni nini?Nilikaona ka nandy juzi kanatoka kanisani kwa walokole usiku. Nkashangaa Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app