Huyu nasikia kawaloga watanzania wote.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Nilisikia ila sina hakika sana
naona ile tarehe inazungumzwa sana nyuma ya "kibodi" sa sijui kwani watu wanatetemeka tetemeka baridi wakati huu msimu ni masika lakini bado joto linasumbua.
acheni nibaki mbele ya tarakilishi kwanza huko kwingine tuna madereva wasiokuwa na leseni vizuri yani mnaanza safari halafu mkifika katikati ya mlima anazima gari na kuwaambia mteremke eti gari halina matairi vizuri.
baba mwenye nyumba na yeye kuna wakati anataka wapangaji tupike chakula anachopenda yeye na wapangaji tukimwambia kuwa tunahitaji kula nyama ye anataka tule maharage eti nyama zitafanya tuwe wanene tukanenepa.
Watu mpaka tunaogopa mbwa tulowafuga wenyewe sa si bora tukae mbali na tai maana wakisikia tu kuku wameangua na jogoo wamekuwa wakali basi tai huja kwenye banda kuwatetea vifaranga wasiliwe na mwewe.
shikamoo dada,sorry shikamoo baba.
 
Sawa,ila Dodoma ndo makao makuu ya nchi na chama pia.
karibu Dom kwa babu.
 
hahahahah watu wanaukimbia huu uzi maana hawauelewi...
huu uzi ni kwa le akili kubwaazz
 
Fasihi...
 
hapa vichwa vya fb na wale waliokuwa wanashindwa jibu maswali ya snerio chuo hawawezi ambulia ata neno moja hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…