Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye macho ya sheria hivyo ni vitu viwili tofauti. Sheria inasema hiviUkishangaa ya Dr. Mwaka na Foreplan Company Ltd (sio Foreplan Clinic plz!!!) utakuja kuyaona ya Nay wa Mitego na Pale Kati Patamu!
Ni veil na si vailKwenye macho ya sheria hivyo ni vitu viwili tofauti. Sheria inasema hivi
A company is a legal entinty/ person which has right to sue or being sued by using its name. A company business is different from the owner (they are two different things).
Kwa kiswahili tunaweza tafsiri kuwa,
Kampuni ni taasisi/mtu wa kisheria (siyo mtu halisi) ambaye/ambayo ina haki ya kushitaki na kushitakiwa kwa kutumia jina la kampuni na siyo jina la mmiliki.
Ikumbukwe sheria inasema pia, mmiliki na biashara za kampuni ni vitu viwili tofauti ndiyo maana kila mmoja atashitaki au kushitakiwa tofauti. Licha ya kuwa kuna wakati hulazimika mmiliki kuunganishwa na kampuni kama kutakuwa na haja ya kufanya hivyo (up lifting corporate vail).
Kwa mantiki hiyo ya kisheria, iliyofungiwa ni foreplan clinic na siyo foreplan company ltd au Juma mwaka in person.
Patamu hapo, lakini kama Nay wa Mitego amefungiwa yeye kama sole artist hivyo kufanya performance ni kosa kama ufungiwaji huo unamuhusu yeye na siyo wimbo tu. Sifahamu vizuri kuhusu issue ya Nay wa Mitego.
Wajuzi watajazia zaidi.
AhsanteNi veil na si vail
Hebu itupie hiyo video clip hapa.Ney Wa Mitego jana kwny exclusive interview na Millard Ayo kasema wameshamalizana na Basata. Kwahyo wimbo wake wa Pale kati patamu utaendelea km kawaida na utakuwa na version mbili. Na vile vile utakuwa na video nne.