wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
kwenye hyo clip sisiikiiii anachoimbaWapi ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye hyo clip sisiikiiii anachoimbaWapi ??
Ukishangaa ya Ney Wa Mitego utayaona ya washika UKUTA
Teh...Ni veil na si vail
Nisaidieni wakuu huyu Nay wa mitego si amefungiwa mbona jana kaburudisha kwenye shoo ya Mwendo kasi au mi ndio sielewi......tujuzane. Na ndio kwanza anasema anautengenezea video huo wimbo wake.
Mwenye roho mbaya nani? AU unamaanisha basata?acheni roho mbayaaaaaaaaa
lllooohhhh!!!!
mnataka wakale wapi!!
wakaibe!!
wanaoshabikia kufungiwa kwa ney!Mwenye roho mbaya nani? AU unamaanisha basata?
SIona maana ya wewe kuwalaumu hao kwamba wana roho mbaya, wakati BASATA NDO WAMEMFUNGI.... walumu BASATA.... hangaika na source na si outcomewanaoshabikia kufungiwa kwa ney!
Kwanza hatushabikii kufungiwa si kwa Nay tu ila kwa msanii yoyote yule,ila tunashangaa mbona aliyefungiwa anaendelea kufanya shoo na kufanya video ya nyimbo iliyosababisha afungiwe ........ kwa sababu ikitolewa hukumu kinachofuata ni utekelezaji wa hukumu na kama haitekelezwi basi nalo ni kosa na mnaojua hilo tatizo lazima muhoji kulikoni hukumu haitekelezwi ??wanaoshabikia kufungiwa kwa ney!
hayakuhusu achana nayo!live ur life!Kwanza hatushabikii kufungiwa si kwa Nay tu ila kwa msanii yoyote yule,ila tunashangaa mbona aliyefungiwa anaendelea kufanya shoo na kufanya video ya nyimbo iliyosababisha afungiwe ........ kwa sababu ikitolewa hukumu kinachofuata ni utekelezaji wa hukumu na kama haitekelezwi basi nalo ni kosa na mnaojua hilo tatizo lazima muhoji kulikoni hukumu haitekelezwi ??
wanaontalk talk talk nonsense!SIona maana ya wewe kuwalaumu hao kwamba wana roho mbaya, wakati BASATA NDO WAMEMFUNGI.... walumu BASATA.... hangaika na source na si outcome
Kuishi maisha yangu ni pamoja na kupata habari,na habari ziko za aina nyingi na mojawapo ni hizi za burudani na unaposema burudani ni pamoja na wasanii na wasanii ndio hawa (wakina Nay) na habari zao ndio hizo (za kufungiwa) na ndio nazitaka kuzijua.hayakuhusu achana nayo!live ur life!
acheni kumuandama kaka wa watuKuishi maisha yangu ni pamoja na kupata habari,na habari ziko za aina nyingi na mojawapo ni hizi za burudani na unaposema burudani ni pamoja na wasanii na wasanii ndio hawa (wakina Nay) na habari zao ndio hizo (za kufungiwa) na ndio nazitaka kuzijua.
ndo bas tena nyimbo zake ushazisikia!Hatumuandami,ila tuliambiwa kafungiwa ndio maana tunauliza kulikoni ??