Huyu Nay wa Mitego si amefungiwa,mbona jana amepafomu kwenye tamasha la mwendokasi?

Hii ndio Bongoland karibuni wageni wenyeji wameficha mundu za kupondea wezi..........
 
acheni roho mbayaaaaaaaaa
lllooohhhh!!!!
mnataka wakale wapi!!
wakaibe!!
 
wanaoshabikia kufungiwa kwa ney!
Kwanza hatushabikii kufungiwa si kwa Nay tu ila kwa msanii yoyote yule,ila tunashangaa mbona aliyefungiwa anaendelea kufanya shoo na kufanya video ya nyimbo iliyosababisha afungiwe ........ kwa sababu ikitolewa hukumu kinachofuata ni utekelezaji wa hukumu na kama haitekelezwi basi nalo ni kosa na mnaojua hilo tatizo lazima muhoji kulikoni hukumu haitekelezwi ??
 
hayakuhusu achana nayo!live ur life!
 
hayakuhusu achana nayo!live ur life!
Kuishi maisha yangu ni pamoja na kupata habari,na habari ziko za aina nyingi na mojawapo ni hizi za burudani na unaposema burudani ni pamoja na wasanii na wasanii ndio hawa (wakina Nay) na habari zao ndio hizo (za kufungiwa) na ndio nazitaka kuzijua.
 
acheni kumuandama kaka wa watu
mziki ndo maisha yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…