Huyu Nay wa Mitego si amefungiwa,mbona jana amepafomu kwenye tamasha la mwendokasi?

Bongo kinachoweza kufungiwa ni upinzan wasiasa pekee
 
chidy benz alitunga wimbo wa kumtukana lowassa wakati wa kampeni mwaka jana,,hivi alifungiwa asababu yupo kijani na njano???shilole nae alifungiwa ila kwenye kampeni za maccm alipia show mwanzo mwisho
 
Duh! Kazi unayo ndugu! Wangapi zamani waliifahamu Foreplan Company?! I guess very few lakini kilichotokea ni kuhamishia shughuli za Foreplan Clinic kwenda Foreplan Company! Taarifa ilidai kwamba, Foreplan Clinic inafungiwa kutoa huduma baada ya kukiuka masharti ya usajili ikiwa ni pamoja na kujitangaza anatoa tiba za kisasa wakati usajili wake ni wa tiba asili!

Now tell me! Specific entity (clinic) inakiuka masharti ya kitabibu but overnight general entity (company) inakidhi masharti yaliyokuwa hayafuatwi na specific entity?!

Alichokifanya Dr. Mwaka ni twisting tu sawa na twisting iliyofanywa na Nay wa Mitego! Ingawaje Nay kajifanya kubadilisha mistari lakini Pale Patamu imebaki pale pale sawa na ilivyobaki Foreplan Clinic Kwenye koti la Foreplan Company!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…