Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

haa haaa hadi kwa jide? gadna ana gari yake bana....ila yule sijui nuhu mziwanda eti kajichora hadi tatoo isiyofutika.....kijinga kweli kile kwa mapenzi gani hapa mjini!!!!
Shishii babe mchezo!.
Kwa Jide hakuna biashara ya Bajaj!
 
Duh..kweli Ezden alipotea njia.

kwan alishkiwa bastola? vjana hapa mjin weng wanapenda slop hujui mwanamke kauzia wapi kabang yake kapata hela we unaenda kuhamia kwake ukifka unataka kupanga mashart eti ni baba wkt unategemea umuombe kuendesha gar yake usubir akununulie mpaka boxer kifp unakuwa umeolewa inabd utlie v na ukizingua kandambil zako ulizokuja nazo zinarushwa nje unasepeshwa,taften hela acheni umarioo na kudandia wamama,km alineng'eneka akapata pesa unadhan kwa kumuoa atatulia lazma aendlee aloo
 
it s a grave mistake, never late any body know what you are thinking, and please go and petition for divorce before court of law, if not that copy of talak will not help you............
 
Acha upuuzi we, jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, unatumia vigezo gani kumwita mtu "anafugwa"..!? Ezden na Dida wameanza uhusiano zamani sana kabla hata hajamiliki hayo magari.
 
Dogo bana nakumbuka kipindi flan nimekaa nae Mwanza... Cjui hajitambui au ndo umarioo... Yani alivyo watoto wa mjini wanaita "swag".. Jamaa hana nyodo ni mtu wa kujichanganya lakn ndo very addicted to over age & big mamas
 
Uwiii kuta znaficha mengi.kumbe zile picha tulizokuwa tunawekewa kwenye blog ilikuwa zinapigwa huku mmoja anakinyongo?mwee nilikuwa natamani naona wanandoa wengine wanavyoishi kwa mapenzi mimi mume hajawahi niomba hata sikumoja tupige picha.Pole zake Ezden n Dida pia hatuujui ukweli waujua wenyewe kama walivyosema tusiwe wepesi kuhukumu.
 
Acha upuuzi we, jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, unatumia vigezo gani kumwita mtu "anafugwa"..!? Ezden na Dida wameanza uhusiano zamani sana kabla hata hajamiliki hayo magari.
taratiiibu!
Zamani hiyo IPI?
Akiwa did a wa G
Au akiwa dida wa mchops?.
 
kwani G alishaachananae lo cjui nipo dunia gan
 
Dogo bana nakumbuka kipindi flan nimekaa nae Mwanza... Cjui hajitambui au ndo umarioo... Yani alivyo watoto wa mjini wanaita "swag".. Jamaa hana nyodo ni mtu wa kujichanganya lakn ndo very addicted to over age & big mamas

Dida ana "ujimama" gani kwa Ezden? mnatumia vigezo gani kumwita Ezden dogo?
 
taratiiibu!
Zamani hiyo IPI?
Akiwa did a wa G
Au akiwa dida wa mchops?.

Mengine ni personal issues ila elewa wameanza uhusiano zamani sana tu na huyohuyo Dida ndo alikua akimfuata Ze Rocka Mwanza.
 
Kamrekodi akiwa anarap !
Enhennhenh siku hiz simu zina kazi nyiiiiiiiingi!

Lakn bado wataalam wanasema watanzania wanatumia aslimia 30 ya features zilizopo kwenye simu zao.
 
Ezden nini kimekukumba ukamvaa huyo b!tch?!

Ona aibu hiyo sasa!
 
Mengine ni personal issues ila elewa wameanza uhusiano zamani sana tu na huyohuyo Dida ndo alikua akimfuata Ze Rocka Mwanza.
Saaasa kama alikubali kuwa nyumba ndogo analia Lia nini kweny media?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…