Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Hebu msikilizeni huyu Ezden! Yaani anatia huruma kweli.

Anakiri mwenyewe kuwa Dida alikuwa anamzidi kipato....halafu eti baada ya kufunga ndoa akaenda kuishi nyumbani kwa Dida.

What a dummy!

Mtu kweli na akili zako timamu unaoa mwanamke kama Dida? Really? Seriously?



Pole sana mkuu, dizaini ya mwanamke kama huyo sio rahisi kuishi katika ndoa yenye heshima. Anaonekana mshamba wa matukio na lembukeni wa umaarufu.

Mkuu wapo wanamake wengi sana kitu na boksi and very young. Life is always changing, nothing stays the same. Keep moving na tafuta kabinti kazuri kadogo dogo ule maisha ya raha. Nyumba, magari n,k zote mwembembe tu!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nauliza DIDA huyu na DIDA wa Yanga ni couple km ile ya Mkwasa!
 
Back
Top Bottom