Mjerumani Chotara
Senior Member
- Jan 29, 2014
- 153
- 34
Jamaa aliingia cha kike bila kujua. Dem gume gume toka mimba inatungwa. Na jamaa anaonekaka alikua "Marioo" maana muda wote ni kulamba midomo.
Kulamba midomo ni Mazoea yake tangu tuko nae Shule. Na umeshasema Dada etu dida ni GUME gume wee wadhani kuna nini hapo tena. Acheni kumlaumu Ezdii kuwa alikuwa Marioo. Hana tabia hiyo nakuhakikishia. Kama Dida ningepata nafasi ya kumshauri ningemwambia "Badili tabia na Rudi kwa Muumba wako umaarufu usikuZUZUWE" kabla Laana Hijakushukia.