Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
thread hii inankumbusha mume wa dada yangu anakaa kwetu kwenye nyumba yetu ya urithi wamepanga wameshindwa wako nyumbani jamani kaka hana sauti yani hadi unamuonea huruma!mi nashindwa kuelewa aliolea nini km hana maisha yani ukifika pale si ndo tuna sauti mana nyumba yetu yani napata picha siku wakitengana km hajaondoka kiedzen edzen afu wanakuwaga malayaaa hawa....!