Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Kwenda kuhojiwa na ushahidi wa talaka mkononi lengo ni kutangaza yuko huru kama frame inayosubiri mpangaji. Atapata tu moyo mpweke mwingine uliozoea majanga wasukume gurudumu la MAHABA NABIP
 
Ila dogo kaongea kwa busara..mijanamke kama hii unaosha rungu mara kadhaa unaishia zako hawawezi maisha ya ndoa wanataka kuuza sura tu
 
Demba nikumbuke ktk ufalmw wako nilee japo miezi sita tuu
ukistaajabu ya Emmanuel Mbasha utayaona ya Ezden.....habari ya mujini now days ni wanaume kulelewa na wanawake wenye pesa...nani anataka kufa kapuku..
 
Nasubiri siku gadna akiliaa kwenye media kua kafukuzwaaaa teh teh

Tema mate chini usimlinganishe Gadner na hivyo vimarioo vyenu vya kuokoteza. Gardner hajawahi kuwa chini kama hao wachovu. Au ndio mnaendeleza utamaduni wa kama mwanamke anaingiza hela nyingi kwenye familia AJIOE mwenyewe!! Bila Gardner Jide angekuwa kama akina Zay B na Sister P tu. Sisi tuliofika mjini zamani tunajua talent ya Gardner katika sales, marketing and promotion ndio imemfikisha Jide alipo sasa
 
Wanafindishia wapi kuandika talaka au unapotaka kuoa unajifunza na kuacha kama utaona kuwa hukuamua sawasawa
 
Acha upuuzi we, jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, unatumia vigezo gani kumwita mtu "anafugwa"..!? Ezden na Dida wameanza uhusiano zamani sana kabla hata hajamiliki hayo magari.

Kwa hiyo jamaa alikuwa anachepuka kwa mke wa mtu....damn.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu, hivi ana watoto wangapi huyo dida? tatizo la ma ebebee wanapiga wanapenda kulelewa.
 
Aaaa aaa hawaelewiiiiiii! Sijui wazazi wa kiume wameacha kufundisha vijana wao?
Hata kama mwanamke ana kwake, ukimuoa anahama kumfuata mume kwake! Hata kama ni gorofa linapangishwa then ile hela inatumika kwa matumizi mengine huko kwa mumewe! Si mwanaume mzima kwachu kwachu na rasket unahamia kwa mwanamke! Ukifumaniwa unarushiwa kibegi chako kwendraaaa

ha ha haha kwachu kwachu eti naenda kukaa kwa mwanamke nahisi vichwani mwao amna alarm kwamba hiki nacho fanya ni kinyume na utamaduni wa kwetu,...... hata zile familia ambazo mke ndio anaoaa lakini mwanume anafanya kazi kubwa kujenga mji wa mwanmke hiyo ni kuweka heshima kwa dume..... dume umesimamisha nanilii afu unataka heshima... alafu mijianaume ya hivi ndiyo inayomeza viagra ili ingonoke weeeee mpaka atoe povu eti ni heshima nani kasema.... mwanaume heshima kuwezakulinda nyumba yako ... ulinzi nikimaanisha nyumba nzuri, chakula, matumizi yote ya home.... hapo ndiyo heshima ,.. s kukamia K kama unaendesha baiskeli kutoka dar es salaam kuelekea morogoro. aiiii michosho tu
 
Lakini pia mambo ya kuoa then unaenda ishi kwa mwanamke ndio madhara yake haya, ugomvi kidogo tu, kashfa kibao na begi lishatolewa nje zamani...God forbid.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu, hivi ana watoto wangapi huyo dida? tatizo la ma ebebee wanapiga wanapenda kulelewa.

Ana mtoto mmoja tu anaitwa Samira, alizaaga na Mchops

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Lugha ya mkoloni kwasababu Dida alitakiwa kwenda big brother si unajua kule hawaongei kiswahili

swaga zikawa baby dida tonight where are we going... are no today i wanna sleep ...
wakigombana sasa utasikia mume😱ooh hell no your a postitute ...
mke: yes i am that why am taking care of you dude... if your a man go and find your own house.... fuuck u...
mume: oh sorry my wife dida your the only and one let go out tonight how much did u have in your wallet...
mke: dont worry i have enough for us..
dida akianguka au akikaa umia au akifurahi neno FUUCK haliishi mdomon mwao he he heh ...
 
haaaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaa kongosha bwanah na majibu yako as usual,ilikuwa niwe msomaji tu kwenye hii thread ila nilipofika hapa imenilazimu tu angala kuminya keyboards,haya Kongosho haki ya nani vile.
Fulo na mumewe, sema akyanani?
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi tu hayo jamani!msimcheke mwenzenu kabla hayajawakuta.Pole Ezedne
 
ha ha haha kwachu kwachu eti naenda kukaa kwa mwanamke nahisi vichwani mwao amna alarm kwamba hiki nacho fanya ni kinyume na utamaduni wa kwetu,...... hata zile familia ambazo mke ndio anaoaa lakini mwanume anafanya kazi kubwa kujenga mji wa mwanmke hiyo ni kuweka heshima kwa dume..... dume umesimamisha nanilii afu unataka heshima... alafu mijianaume ya hivi ndiyo inayomeza viagra ili ingonoke weeeee mpaka atoe povu eti ni heshima nani kasema.... mwanaume heshima kuwezakulinda nyumba yako ... ulinzi nikimaanisha nyumba nzuri, chakula, matumizi yote ya home.... hapo ndiyo heshima ,.. s kukamia K kama unaendesha baiskeli kutoka dar es salaam kuelekea morogoro. aiiii michosho tu

Hahahahahaa...unapigwa kipumpwiko mpaka unahisi kuna moto wa jehanam, unakuta kijana kakukunja umekuwa kama kiwete!
 
Back
Top Bottom