Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Hivi unajua ni ngumu kumsikiliza mtu namna hiyo et akupe mimba ndio muoane

Mimi najua wengi hutokea bila kutarajia ndio wanafanya haraka haraka kuoana sio hii ya kupanga kabisaa
 
Hivi unajua ni ngumu kumsikiliza mtu namna hiyo et akupe mimba ndio muoane

Mimi najua wengi hutokea bila kutarajia ndio wanafanya haraka haraka kuoana sio hii ya kupanga kabisaa
Ok boss. The choice is your bi dada
 
Ukiona kuoana kuna lundo la masharti sharti kaa mbali. Narudia tena kaa mbali. Ndoa ni hiyari na utayari wa nafsi
 
Kama upo kwenye mahusiano ambayo huamini kuna lolote jema mbele ni bora kukaa kando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…