Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Ni mitazamo lakini. Kuna jamaa yangu alimuoa mkewe baada ya mwanamke kumtegeshea siku za tarehe mbaya. Baada ya kushika mimba jamaa alifanya haraka sana ndoa ikafungwa kabla mimba haijawa kubwa.

Umesema ana uwezo na anakuhudumia, nakushauri beba mimba. Inawezekana umri wako bado unaruhusu kuchagua wanaume na kuwaringia ringia ukiweka misimamo yako. Ila kama huyo jamaa utamkatalia na yeye alitaka ajiridhishe na ukamilifu wako kwenye uzazi, siku akikata kamba unaweza mtafuta kwa tochi mwanaume mwingine wa kukuambia beba mimbi ili nikuoe na usimpate.

Siku hizi ninaona vijana wengi sana wanaoa mwanamke akiwa tayari ni mjamzito. Wadada wengi husema kama wewe kuwa hadi anioe ndio nibebe mimba. Ila kimsingi hakuna tofauti kuolewa ukiwa na mimba na ukiwa fresh. Wadada wengi hupenda kutoonekana na matumbo siku ya harusi. Kwa maana nyingine wanataka kujiachia siku hio. Ila kuna wadada nawaona wengi tu huolewa na mimba zao na ndoa huwa tam tu.

Sisi ni washauri tu. Maamuzi ni yako

Hivi unajua ni ngumu kumsikiliza mtu namna hiyo et akupe mimba ndio muoane

Mimi najua wengi hutokea bila kutarajia ndio wanafanya haraka haraka kuoana sio hii ya kupanga kabisaa
 
Hivi unajua ni ngumu kumsikiliza mtu namna hiyo et akupe mimba ndio muoane

Mimi najua wengi hutokea bila kutarajia ndio wanafanya haraka haraka kuoana sio hii ya kupanga kabisaa
Ok boss. The choice is your bi dada
 
Nyie wa ndugu ni wazima.

Tuna mahusiano ya mwaka 1, mwezi kama huu ndio tulijuana kisha akaenda abroad now amerejea ila anataka tuzae

Suala la ndoa anasema on process nikiwa tayari nina kibendi sababu ni kwamba naweza kumkimbiaa [emoji23][emoji23]

Mimi kwasasa sina kazi namtegemea yeye hilo suala la kuzaa kwasasa nimelipingaa lolote linaweza kutokea huko mbeleni

Ushaurii wenu ni njia salama za kujikinga na mimba. Na kwa waliowahi kutumia na hazija waathiri

NB: Mimi sijawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango so nataka nianze kutumia now

[emoji1787][emoji1][emoji1]
Ukiona kuoana kuna lundo la masharti sharti kaa mbali. Narudia tena kaa mbali. Ndoa ni hiyari na utayari wa nafsi
 
Kama upo kwenye mahusiano ambayo huamini kuna lolote jema mbele ni bora kukaa kando.
 
Back
Top Bottom