Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

Epuka matapeli mwambie akuoe kwanza kuna faida nyingi atakuchenga
 
Huu mtihani kweli kwasababu wewe unaogopa yeye ni mhuni atakuacha single maza, yeye anaogopa wewe ni mhuni una mtu wako mwingine.....

Sasa mkishindwa kukubaliana kitu kimoja itabidi hadithi yenu iishie hapo lazivyo mtaanza vituko....
Hapana, Yaan Mwanaume aogope mwanamke ni muhuni, kwamba Mwanamke atamuacha??.

Yaan kwamba akifunga Ndoa, mwanamke ndio ataamua kuvunja Ndoa ,aende Kwa Mwanaume mwingine??.

Au kwamba kwenye hiki kipindi Cha upenzi Penzi ndio mwanamke atamuacha??...Sasa ingekua Ivo, huyu mwanamke siangeshamuacha jamaa, na Yuko na mwanaume mwingine?...kwann asubirie Ndoa, ndio Sasa amuache Mume wa Ndoa, aende Kwa bwanako??.

HAPO HAMNA MUOAJI WALA CHA BIBI YAKE!!.
 
Umesema kweli
 
Hahahahaha hapana
Mda mwngne mambo ya mahusiano kwa sasa ni bahati nasibu ,ukitumia akili sna utaweza kuharibu na ukitumia hisia sna utaaribu pia ,ila fanya maamuzi unayoona yanakupa amani.
 
Mda mwngne mambo ya mahusiano kwa sasa ni bahati nasibu ,ukitumia akili sna utaweza kuharibu na ukitumia hisia sna utaaribu pia ,ila fanya maamuzi unayoona yanakupa amani.

Amani yangu nimehitimisha ni kukataa mimba

Sasa nataka ushaurii wa uzazi wa mpango
 
Jamaa anavuta vuta muda anajua hautakubali. Hayupo tayari na ndoa kwa sasa.

Ila ukikubali tu ndio imeisha hiyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mimi mbona sitaki hiyo mimbaa kwasasa
Sasa wewe hutaki, yeye anataka, we hiyo sintafahamu unahisi utatauaje??? Ndo nachotaka kujua kwasababu hapa nilazima mmoja aache msimamo wake, akubaliane na mwenzake ndo mahusiano yaendelee......
 
Jamaa anavuta vuta muda anajua hautakubali. Hayupo tayari na ndoa kwa sasa.

Ila ukikubali tu ndio imeisha hiyo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cha kushangaza mimi sijawahi kumuuliza habari za ndoa yeye ndio tangu arudi anaziongelea

Mimi msimamo wangu nilishamwambia kwasasa siko tayari
 
Sasa wewe hutaki, yeye anataka, we hiyo sintafahamu unahisi utatauaje??? Ndo nachotaka kujua kwasababu hapa nilazima mmoja aache msimamo wake, akubaliane na mwenzake ndo mahusiano yaendelee......

Mimi nataka njia salama za kujitumia kuepuka mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…