Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Epuka matapeli mwambie akuoe kwanza kuna faida nyingi atakuchenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyo nae ni wanje muongo kama nin,utazalishwa utaachwa[emoji23][emoji23][emoji23]ndio vijana wa sasa
Wewe zaa tu mkuu maisha ni kutake risk, akihudumia poa akiingia mitini nature itaamua .
Hapana, Yaan Mwanaume aogope mwanamke ni muhuni, kwamba Mwanamke atamuacha??.Huu mtihani kweli kwasababu wewe unaogopa yeye ni mhuni atakuacha single maza, yeye anaogopa wewe ni mhuni una mtu wako mwingine.....
Sasa mkishindwa kukubaliana kitu kimoja itabidi hadithi yenu iishie hapo lazivyo mtaanza vituko....
Kubali uongeze idadi ya single mothers
Sasa akikataa katukatu kutokukupa mimba we unaona hapo utafanyaje.....[emoji19][emoji19][emoji19]
Epuka matapeli mwambie akuoe kwanza kuna faida nyingi atakuchenga
Na huyo nae ni wanje muongo kama nin,utazalishwa utaachwa
Hapana, Yaan Mwanaume aogope mwanamke ni muhuni, kwamba Mwanamke atamuacha??.
Yaan kwamba akifunga Ndoa, mwanamke ndio ataamua kuvunja Ndoa ,aende Kwa Mwanaume mwingine??.
Au kwamba kwenye hiki kipindi Cha upenzi Penzi ndio mwanamke atamuacha??...Sasa ingekua Ivo, huyu mwanamke siangeshamuacha jamaa, na Yuko na mwanaume mwingine?...kwann asubirie Ndoa, ndio Sasa amuache Mume wa Ndoa, aende Kwa bwanako??.
HAPO HAMNA MUOAJI WALA CHA BIBI YAKE!!.
Mda mwngne mambo ya mahusiano kwa sasa ni bahati nasibu ,ukitumia akili sna utaweza kuharibu na ukitumia hisia sna utaaribu pia ,ila fanya maamuzi unayoona yanakupa amani.Hahahahaha hapana
Sasa akikataa katukatu kutokukupa mimba we unaona hapo utafanyaje.....
Hebu niambie
Mda mwngne mambo ya mahusiano kwa sasa ni bahati nasibu ,ukitumia akili sna utaweza kuharibu na ukitumia hisia sna utaaribu pia ,ila fanya maamuzi unayoona yanakupa amani.
Kama anazingua, njoo uzae na mimi
Sasa wewe hutaki, yeye anataka, we hiyo sintafahamu unahisi utatauaje??? Ndo nachotaka kujua kwasababu hapa nilazima mmoja aache msimamo wake, akubaliane na mwenzake ndo mahusiano yaendelee......[emoji23][emoji23][emoji23]mimi mbona sitaki hiyo mimbaa kwasasa
Jamaa anavuta vuta muda anajua hautakubali. Hayupo tayari na ndoa kwa sasa.
Ila ukikubali tu ndio imeisha hiyo
Aha.....hi inaweza kua sababu kabisa...hii imekaa kiakili[emoji23] mapenzi ni kama game eti....Jamaa anavuta vuta muda anajua hautakubali. Hayupo tayari na ndoa kwa sasa.
Ila ukikubali tu ndio imeisha hiyo
Kuzaa si mpaka pesa au awe na hela, kama umemuelewa we zaa tu; wengine upenda mbegu tu.Hazingua mimi ndio nazinguaa
Sasa wewe hutaki, yeye anataka, we hiyo sintafahamu unahisi utatauaje??? Ndo nachotaka kujua kwasababu hapa nilazima mmoja aache msimamo wake, akubaliane na mwenzake ndo mahusiano yaendelee......