tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kwani kakuomba umpe like yako?Mambo mengine kutafuta likes na umaarufu tu
Kanasema vizuri kabisa!Huyu ndie Asajile Mwanjala aliechukuliwa usiku wa Leo na Afande Ally wa kituo cha Ifunda Kibaoni Jimbo la Karinga pamoja na Afande Lazaro wa Central Iringa mjini.
Soma pia: Asajile Mwanjala amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda
View attachment 3493235
Habari kosa na hajafanya kosa lolote. Anatekwa au kukamatwa kwa kosa gani? Hao mnawaendekeza.Kuna mambo yanafanyika hata hujui kwa faida ipi mfano huyu alichoongea cha kawaida sana
Kafanyaje kwani?Huyu ndie Asajile Mwanjala aliechukuliwa usiku wa Leo na Afande Ally wa kituo cha Ifunda Kibaoni Jimbo la Karinga pamoja na Afande Lazaro wa Central Iringa mjini.
Soma pia: Asajile Mwanjala amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda
View attachment 3493235
Wewe ndo bure kabisaa ...Mambo mengine kutafuta likes na umaarufu tu
Kwani hizo likes zinafaida gani hadi mtu azitafute.Mambo mengine kutafuta likes na umaarufu tu
Ni kweliWewe ndo bure kabisaa ...
Amefanya KOSA GANIMambo mengine kutafuta likes na umaarufu tu