Huyu ndie bilionea namba moja Tanzania

Ni bongo tu ambapo kuna mabilionea in USD ambao HAWAJAWAHI KUWAMO KWENYE ORODHA YA WALIPA KODI BORA, SIO WAO BINAFSI WALA MAKAMPUNI YAO!
 
Hivi kweli mengi ni tajiri?
Tuache ushabiki sema ana miliki nini (apart from ipp media na bonite)
na vitu vyake ni %ngapi kwenye market.
Ananipa wasiwasi.

Huyo Mengi ni mpenda sifa kama Mohamed Dewji. Wako ladhi kudanganya mradi wauze majina. Ukitaka kujua kama ni matajiri kweli nenda TRA ukaangalie taarifa zao za ulipaji kodi.

Mengi kila mwaka anapeleka taarifa za makampuni yake kupata hasara ili apewe misamaha ya kodi sasa huo utajiri kautoa wapi?

MELT ni kampuni ya Mzee Gulam baba wa Mohamed sasa huo utajiri inakuaje waseme tajiri ni mtoto wakati baba mwenye mali yuko hai? Si wasubiri afe mtoto arithi mali ndo waje na upuuzi wao?

Bongo tajiri wa ukweli ni mmoja tu Bakresa. Hao wengine matapeli tu wako kwenye mitandao ya kifisadi wanafilisi nchi.
 

Umenikosha sana kwa Kuongea ukweli,Matjiri wa Tanzania ndo wakwepa kodi namba moja TRA muda wote wanahangaika na wenye vibanda na Mama Ntilie huku akina Mengi na wengineo wala hawaulizwi,Duh Tanzania? basi tu.....
 

Hakika mkuu,umenena kweli kabisa tuna safari ndefu ya kwenda Wtz hasa ktk suala la ukusanyaji wa kodi mfanyakazi wa serikali analipa mpaka sh.79000 kwa mshahara wa laki 700000 lakini tajiri mkubwa anayekusanya kipato cha zaidi ya milion 500 kwa mwezi analipa kiasi kidogo kabisa au wakati mwingine anasamehewa halipi kabisa!
 

Angalia investiments za Bakhresa ndani na nje ya nchi ndo utashawishika kuwa huyu jamaa ni tajiri japo hapendi kujianika kwenye vyombo vya habari. Hata mtoto mdogo ukimuamsha usingizini wala anaweza kukuambia biashara za bakhresa walau 2 au 3. Sasa hao wahuni hata biashara zao hazieleweki utasikia wanakwambia ndo matajiri.


Mtu kama Manji tapeli aliyetukuka na mfanyabiashara za kamali kesho utaambiwa eti naye mfanyabiashara namba moja au mbili. Ukiuliza biashara zake hata hujui.

Kitu nilichokigundua ni kuwa hawa waandaaji wa hizi taarifa ni wamiliki wa majarida na magazeti maarufu kama yale udaku ya Shigongo au kitangoma la clouds. Wanapika taarifa sana.

We jiulize mtu mwaka jana alikuwa na utajiri wa dola milion500, alafu eti baada ya mwaka mmoja utajiri wake umekua hadi kufikia dola bilion 2????

Nimeanza kuamini hata utajiri wa Dangote sio wenyewe bali anasingiziwa.
 
Hizi taarifa za utajiri hazisaidii chochote ni kupotezeana muda tu. Ziwekwe kwenye forum ya umbea kama ipo. period
 
Hizi ni propaganda na ujanja ujanja, bilionea inabidi atengeneza ajira kwa watu wengine na alipe kodi na kupata vitu kihalali. Huyu ana kashfa ya kupora kiwanja cha serikali wakati wa Mh. Mkulo, pia anang'ang'ania ajira za wengine kama ubunge badala ya kuwatengenezea.
 
Chuki binafsi hizo,basi wewe ndo TAJIRI sawa????
By nzalendo

Hivi kweli mengi ni tajiri?
Tuache ushabiki sema ana miliki nini (apart from ipp media na bonite)
na vitu vyake ni %ngapi kwenye market.?
Ananipa wasiwasi.
Jibu swali ni kitu gani cha Mengi sokoni ambacho kinamfanya aitwe tajiri? au ana property gani?

 
Kila siku unaangalia Taarifa ya habari ITV,unasikiliza Radio One,Unakunywa Cocacola nk bado tu unataka viandikwe Reginald Mengi ndio ujue yuko kwenye soko!!!
 
Kila siku unaangalia Taarifa ya habari ITV,unasikiliza Radio One,Unakunywa Cocacola nk bado tu unataka viandikwe Reginald Mengi ndio ujue yuko kwenye soko!!!
1.The history of ITV, the United Kingdom "Independent Television" commercial network, goes back to 1954.
2.
Radio 1 was established in 1967 (along with its somewhat more adult-oriented counterpart, BBC Radio 2)
3.Coca cola
The company is best known for its flagship product Coca-Cola, invented in 1886 by pharmacist John Stith Pemberton in Columbus, Georgia

Mkuu sasa huyu Mangi ni dalali/au msanii?


 

Hili nalo neno kila siku riport mpya zinatoka,kama sikosei ni kama mwaka jana mwishoni kuna Report ilitoka ikaonyesha Gulam Dewji ndo tajiri namba 1 Tanzania wakati mwanae alishika nafasi kama ya sita hivi,badaye ikaja report inayomuonyesha Mohammed Dewji yupo katika top ten ya vijana matajiri Afrika.
 
hahresa amewekeza nchi nyingi lakini amewekeza kwenye mali zinazouzwa kwa bei ya chini. ndio maana anazidiwa mbali sana na rostam hata na mengi. all in all, kati ya wote matajiri tz hakuna hata mmoja ambaye sio zurumati na fisadi, ila wanazidiana tu. na ni wachawi wanalala kuzimu
 
Dah sijui lini watanisingizia na mie
 
Kama tafsiri ya kuwa tajiri mpaka ubuni new product kwenye market basi kazi ipo
 
Mo ni tapeli kama matapeli wengine,hana cha ubillionea wala nini.
 

duh!! Ama kweli uaminifukazi!
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mo ni mtu wa misifa tu.
Mikopo aloyochukua na bado kulipa ni zaidi ya Assets zake.
Shughuli zake zote ni mikopo ya benki.
Magari ya mkopo na capital ni mikopo.

Ukweli tajiri mkubwa ni bakhressa akifuatiwa kwa karibu na Fidahussein.
Huyu fidahussein hana masifa ila amejiimarisha kuanzia Affricarriers na sasa ana Assets za property zaidi ya 500 zote bila mikopo.
Assts zake ni pamoja Double tree Hilton 2 dar es salaam na 2 Zanzibar
Nyungime ni Pearl residency na marina
Kwa ufupi ana assets zaidi ya 500 zote katika maeneo muhimu ya TZ.
Kodi kwenye hizi assets anaingiza wastani wa $ 1m kwa mwezi mbali ya share Maxinsure na Bank M
Lakini huwezi kumuona kwenye vigazeti ambavyo hawafanyi utafiti sawa sawa bali mtu anavojikomba
 
yaani nilikuwa nategemea badala ya kumtaja fida husein ungemtaja hata shubat patel ambaye ni tajiri sana na hajitangazi. fida yuko nyuma sana ya hao wengine. umenikumbusha bank M ambayo ni bank ya mafisadi tu na wamiliki wake wote ni mafisadi....idi simba pia ana hisa nyingi na ni mkurugenzi mmoja wapo, mkono, na mafisadi wengine wote wana hisa pale. kile ni kichaka ugopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…