Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli mengi ni tajiri?
Tuache ushabiki sema ana miliki nini (apart from ipp media na bonite)
na vitu vyake ni %ngapi kwenye market.
Ananipa wasiwasi.
Kama tafsiri ya kuwa tajiri mpaka ubuni new product kwenye market basi kazi ipo
una uhakika!? dalali wa nani?
hahahaha mkuu huyo jamaa anachuki binafsi, alikuja humu na mbinu ya kijasiliamari akapigwa chini na hoja zake bandia. Eti ukitaka kuwa tajiri lazima usome vitabu 500 kwa mwaka hahahahaha
Huyu Mo ni mtu wa misifa tu.
Mikopo aloyochukua na bado kulipa ni zaidi ya Assets zake.
Shughuli zake zote ni mikopo ya benki.
Magari ya mkopo na capital ni mikopo.
Ukweli tajiri mkubwa ni bakhressa akifuatiwa kwa karibu na Fidahussein.
Huyu fidahussein hana masifa ila amejiimarisha kuanzia Affricarriers na sasa ana Assets za property zaidi ya 500 zote bila mikopo.
Assts zake ni pamoja Double tree Hilton 2 dar es salaam na 2 Zanzibar
Nyungime ni Pearl residency na marina
Kwa ufupi ana assets zaidi ya 500 zote katika maeneo muhimu ya TZ.
Kodi kwenye hizi assets anaingiza wastani wa $ 1m kwa mwezi mbali ya share Maxinsure na Bank M
Lakini huwezi kumuona kwenye vigazeti ambavyo hawafanyi utafiti sawa sawa bali mtu anavojikomba
ha ha ha! labda anataka kuwa mhadhiri wa utajiri??!!!
Kama tafsiri ya kuwa tajiri mpaka ubuni new product kwenye market basi kazi ipo
Kwa kuanzia tuHuyu dewji nae sie huyu
ni msaniii
shughuli zake hazieleweki ni mwana siasa?
Vitu alivyochukua psrc mbona viko vilevile?
huyu nakataaa sio tajiri.ni mpenda sifa
yeye anasomaga vitabu kumi kwa siku anasema