Huyu ndie bilionea namba moja Tanzania

mama tibaijuka ajtahd tu kwenye migao atafka huku kwenye mabilionea
 
Hivi kweli mengi ni tajiri?
Tuache ushabiki sema ana miliki nini (apart from ipp media na bonite)
na vitu vyake ni %ngapi kwenye market.
Ananipa wasiwasi.

Anamiliki mgodi wa madini huko Arusha
 

naona kama zote ni hisia tu rather than facts ndo znafanya ushabiki wote huu; but just an advice 'to discuss people's life wont make sense to matured visionary person'
 
Kama tafsiri ya kuwa tajiri mpaka ubuni new product kwenye market basi kazi ipo

mkuu huyo nzalendo anaonesha wazi kua na personal attacks ambazo huezi kumzuia kuzitoa. Itakua ajabu mtu anaesema haya hata nguo ya ndan alovaa ananunuliwa na wanaomtunza (sitawataja) lkn anahangaika na watu wanaoeza kujiendeshea maisha yao na hawamjui wala hawajishugulishi na maisha yake
 
una uhakika!? dalali wa nani?

hahahaha mkuu huyo jamaa anachuki binafsi, alikuja humu na mbinu ya kijasiliamari akapigwa chini na hoja zake bandia. Eti ukitaka kuwa tajiri lazima usome vitabu 500 kwa mwaka hahahahaha
 
hahahaha mkuu huyo jamaa anachuki binafsi, alikuja humu na mbinu ya kijasiliamari akapigwa chini na hoja zake bandia. Eti ukitaka kuwa tajiri lazima usome vitabu 500 kwa mwaka hahahahaha

ha ha ha! labda anataka kuwa mhadhiri wa utajiri??!!!
 

Fidahusein nae ni tapeli tu, huo utajiri wote ni baada ya kumwibia Mzee Mengi kwenye moja ya biashara zake... Hawa matajiri wa Bongo wote wako kwenye mtandao mmoja na wanasaidiana sana japo sisi kwa nje tunawaona kama wana bifu. Lakini hii ndio nature ya matajiri wote duniani, wote ni wadhurumati na wajanja wajanja tu..
 
Kama tafsiri ya kuwa tajiri mpaka ubuni new product kwenye market basi kazi ipo

mkuu huyo nzalendo anaonesha wazi kua na personal attacks ambazo huezi kumzuia kuzitoa. Itakua ajabu mtu anaesema haya hata nguo ya ndan alovaa ananunuliwa na wanaomtunza (sitawataja) lkn anahangaika na watu wanaoeza kujiendeshea maisha yao na hawamjui wala hawajishugulishi na maisha yake
 
Utafiti unapingwa kwa utafiti kama venture magazine wamefanya utafiti wao kuhusu biashara za Mo wakakuta zina worth 2b USD na wanaopinga wafanye utafiti wao
 
Suala la dewji watanzania wataona wivu eti mkopo chukua na wewe mo kawekeza sana huyo baresa muuza maji watu wa dar ndo wanamsifia nani kama mooooo
 
Miezi kama mitatu iliyopita metl wamekopeshwa kiasi cha fedha nilichokitaja na randmerchant bank s afrika ni tajiri gani bongo alishawahi kukopa kiasi hicho cha fedha kwa mkupuo bongo hapaa
 
Matajiri mnaowataja kila siku wanalia wanataka serikali iwapendelee kwenye rasilimali za nchii sijawahi kumsikia mo mimii
 
Mo anakwambia vision zake ni kuwa tajiri namba moja afrika na ikifika mwaka 2018 turnover za metl zifikie dollar 5 billioni kwa mwaka
 
Mo nikijana anamiaka 39 hivi mpka akifika miaka 60 atakuwa na utajiri wa kiasi gani kijana kaandaliaa wacha mchezo
 
Bongo utakuta Mtu babayake fisadi anamsomesha Mtoto wake akaajiriwe kama yeye aibee kwani walishakariri ukitaka ufanikiwe kaajiriwe na ufanye ufisadi safari ndefu tuliyonayoo
 
Kusema ukweli mimi nawapongeza hawa watu maana wamejutahidi hadi hapo walipo.
 
Huyu dewji nae sie huyu
ni msaniii
shughuli zake hazieleweki ni mwana siasa?
Vitu alivyochukua psrc mbona viko vilevile?
huyu nakataaa sio tajiri.ni mpenda sifa
Kwa kuanzia tu
1:IPP media nafikiri unafaham kuna redio na magazeti

2:Bonite ambayo inazalisha soda za coca cola co na maji ya kilimanjaro.

3:Colgate

4:Sabuni za kuogea Amanda nafikiri bado zipo.

5:Migodi ya dhahabu

6:Lotion

7:Toilet paper nafikiri

8.....nimesaha nyingine coz ni siku nyingi sijafuatilia biashara zake sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…