instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 345
hahresa amewekeza nchi nyingi lakini amewekeza kwenye mali zinazouzwa kwa bei ya chini. ndio maana anazidiwa mbali sana na rostam hata na mengi. all in all, kati ya wote matajiri tz hakuna hata mmoja ambaye sio zurumati na fisadi, ila wanazidiana tu. na ni wachawi wanalala kuzimu
Biashara gani anayoifanya huyo inayolipza kuliko bashara za Bakhresa, kama ni vyombo vya habari digteck kimeanza mda mrefu mpaka leo hakijafika popote wakati king'amuzi cha azam kimesambaa nchi nzima na nchi za jirani. Kwenye madini tunaambiwa hamna faida ni hasara ndio maana kodi haikusanywi. Kwa bongo mfanya biashara tunaemuona ni Bakhresa hao wengine biashara za kumzidi bakharesa hatuzioni labda kama ni zile zisizoruhusiwa.
Kama tafsiri ya kuwa tajiri mpaka ubuni new product kwenye market basi kazi ipo
Biashara gani anayoifanya huyo inayolipza kuliko bashara za Bakhresa, kama ni vyombo vya habari digteck kimeanza mda mrefu mpaka leo hakijafika popote wakati king'amuzi cha azam kimesambaa nchi nzima na nchi za jirani. Kwenye madini tunaambiwa hamna faida ni hasara ndio maana kodi haikusanywi. Kwa bongo mfanya biashara tunaemuona ni Bakhresa hao wengine biashara za kumzidi bakharesa hatuzioni labda kama ni zile zisizoruhusiwa.
Jomba umechemka aseh...........
Hivi kampuni ya IPP ni ndogo hivyo kwa jinsi ulivyoichambua????
Na vp kuhusu hz kampuni za vinywaji baridi??? cocacola.. Fanta.. N.k.
Tv... Radio.. Magazeti.......
Maji ya kunywa..... Madini.... N.k
Madini hayalipi kihivyo ndio maana hata kodi ya kwenye madini haionekani. Coca/Fanta faida kubwa inaenda kwa wenye formula. Kwenye vyombo vya habari na SSB kashaingia tena kwa kasi. Akina Contenental/digteck wanasema mtaji ndo kikwazo cha kusambaa nchi nzima. Bado sijaona uwekezaji kwa wa Bakhresa kwa matajili wetu, bakhresa ukienda malawi unamkuta, ukienda rwanda yupo, msumbiji yupo. uganda yupo bado tu? Hao akina rostam uwekezaji wao uko wapi?
Huyu dewji nae sie huyu
ni msaniii
shughuli zake hazieleweki ni mwana siasa?
Vitu alivyochukua psrc mbona viko vilevile?
huyu nakataaa sio tajiri.ni mpenda sifa
Ni bongo tu ambapo kuna mabilionea in USD ambao HAWAJAWAHI KUWAMO KWENYE ORODHA YA WALIPA KODI BORA, SIO WAO BINAFSI WALA MAKAMPUNI YAO!
Napata shida kidogo na kiwango chako cha elimu kwa hiki ulichokiandika,una chuki binafsi nadhani wewe ni team MUHONGO!!
Mwenye mali ni Gulam Dewji, baba lakini media imemkweza mtoto. Lakini kwa Tanzania ni vigumu kumfahamu tajiri kwa vile vitabu na mahesabu yao ni kughushi tupu. Hayawekwi wazi. Kwa makampuni ya wenzetu nje ya nchi hata hapa karibu Kenya ni rahisi kufahamu utajiri wa mtu. Kinachofanyika, waandishi wa majarida hayo hupigwa pesa na kuanza kuwapamba hao wanaowaita mabilionea.Nani tajiri zaidi ya mwenzake kati ya Mohammed Gulam Dewji na Gulam Mohammed Dewji. Hawa watu ni mtu na mtoto wake. Mtoto ni CEO wa METL na Baba ni Chairman wa METL. Watafiti wanatuchanganya kila kukicha, leo watasema Mohamedi ni tajiri na kesho wanasema Gulam ni tajiri lakini mali inayozungumziwa ni ile ile makampuni ya METL.
kiwanda cha COTEX ambapo vfungashio vyote anauza na matenk na white dent na kiwanda cha madawa cha shelys phamasitical, vyombo vya ndani kama sufulia n.k na vipodozi vngi tu vyote ni IPP.Kwa kuanzia tu
1:IPP media nafikiri unafaham kuna redio na magazeti
2:Bonite ambayo inazalisha soda za coca cola co na maji ya kilimanjaro.
3:Colgate
4:Sabuni za kuogea Amanda nafikiri bado zipo.
5:Migodi ya dhahabu
6:Lotion
7:Toilet paper nafikiri
8.....nimesaha nyingine coz ni siku nyingi sijafuatilia biashara zake sana
Wewe jamaa umeniwah tu kusema yaani nimewaza hivyo hvyo.Hiyo ni kutafuta sifa tuu ukweli ni kuwa Bakhresa ndiye tajiri namba 1 tanzania.Amewekeza msumbiji,malawi,rwanda,uganda burundi na muda sii mrefu atafungua viwanda kenya.Bakhresa anatoa ajira zinazoonekana,bidhaa zinazotomika kila siku,kodi analipa hana madeni bank za ndani.Wakati METL ndiye mdaiwa mkubwa stanbic,ana viwanda alipewa PSRC mpaka leo hajaviendeleza amefanya goodown
Sio kweli hvyo viwanda ulivyotaja ni vya wahindi ndio wamiliki.kiwanda cha COTEX ambapo vfungashio vyote anauza na matenk na white dent na kiwanda cha madawa cha shelys phamasitical, vyombo vya ndani kama sufulia n.k na vipodozi vngi tu vyote ni IPP.