Yote hayo sawa, ila nampenda ali Kiba
Yah demokrasia ya kuchagua mwanamziki unayempenda lazima iwepo na pia iheshimiwe tatizo kubwa la mashabiki wa bongo lipo kwenye kulazimisha msanii anayempenda aonekane ni Bora ndo hapo Kuna kuwa na uteam.I
Uko sahihi kabisa
Ila wako wanaopendwa pia, acha demokrasia ya mioyo na asili ya binadamu iamue na iruhusu kupenda wengine pia
Yote hayo sawa, ila nampenda ali Kiba
anaongoza duniani.Yes.... diamond yuko juu mawinguni kiusanii anaongoza afrika....
Ni mpambanaji, mbunifu, anaejituma na asiyekata tamaa.
Ameanza from scratch na leo ni milionea, very inspired man!
Sent using Jamii Forums mobile app