Huyu ndie Diamond Platnumz

Huyu ndie Diamond Platnumz

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Jina halisi: Nasibu Abdul.
Umri: 30 years.

Mtanzania maarufu zaidi huko duniani.

Kijana mpambanaji zaidi katika historia ya tanzania.

Mtanzania anaefuatiliwa zaid dunian kupitia platform na social network.

Anamiliki label kubwa zaid afrika.

Anamiliki label maarufu zaid afrika.

Youtube king wa wasanii wakubwa africa.

Msanii mwenye show nyingi zaidi Africa.

Parfomer mkubwa zaid afrika.

Msanii mwenye tuzo nyingi zaidi afrika.

Mengine mtaongezea bt haters mkagoogle ili mje mpinge kwa data.
 
92588427_673608533402442_5318062024416250134_n.jpg
 
I

Uko sahihi kabisa


Ila wako wanaopendwa pia, acha demokrasia ya mioyo na asili ya binadamu iamue na iruhusu kupenda wengine pia

Yote hayo sawa, ila nampenda ali Kiba
Yah demokrasia ya kuchagua mwanamziki unayempenda lazima iwepo na pia iheshimiwe tatizo kubwa la mashabiki wa bongo lipo kwenye kulazimisha msanii anayempenda aonekane ni Bora ndo hapo Kuna kuwa na uteam.
 
Yes.... diamond yuko juu mawinguni kiusanii anaongoza afrika....
 
Ndiye msanii anae ongoza kupiga show za vichochoroni ulaya
 
Back
Top Bottom