Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Etieee!Ungeoanisha na kapicha mkuu stori yake ingenoga zaidi!
Head mistress!!Nikajuwa ni Zari na Dai
Bashite na mke wakeNikajuwa ni Zari na Dai
Kwenye kichwa cha habari kina neno "mapenzi", lakin post ni about sex(tena animal sex).Hapo vip!!
Leo katika pita pita zangu nikawakuta watu wanashangaa mbwa wawili walionatiana tokea asubuhi mpaka jioni.
Duh!!nikagindua Katika wanyama wote anayefaidi penzi sana ni mbwa,wengine wote mbwembwe tu mapenzi tumuachie mbwa.
Hivi kuna mnyama mwingine anayemzidi mbwa kwa kufanya mapenzi kwa muda mrefu?
Ipi tofauti kati ya mapenzi na sexKwenye kichwa cha habari kina neno "mapenzi", lakin post ni about sex(tena animal sex).
Kuna tofauti kubwa kati ya mapenz na sex.
wanyama kama mbwa wanafanya sex,na hayo si mapenzi.
Wanadamu tuna mapenzi, mtu kumpenda mwenzie,kwa wanadamu sex iko ndani ya mapenzi. mwanadam si kama hao mbwa uliowasifia.
Mapenzi ambalo ni wingi wa neno pendo. Penzi ni hisia, tendo la ndoa ndio sex.Ipi tofauti kati ya mapenzi na sex
Sokwe ndiye mnyama anayesikia utamu wa mapenzi kuliko mnyama yeyote yule hasa sokwe jike. Sokwe jike akifanya ngono utamu wake anausikilizia kwa masaa 5-6, na baada ya hapo anaweza asiwe na hamu tena ya kufanya mapenzi kwa miezi mingine 6. Baada ya kufanya ngono hutafuta sehemu iliyotulia autafakari utamu huo kwa hayo masaa
Vip unakunywa pombe gani hapo ulipo kwasababu mimi kwenye thread yangu sijatumia neno la kingereza (sex).. Sasa embu tuambie sex kwa kiswahili inaitwaje?na mapenzi kwa kingereza inaitwa je?Kwenye kichwa cha habari kina neno "mapenzi", lakin post ni about sex(tena animal sex).
Kuna tofauti kubwa kati ya mapenz na sex.
wanyama kama mbwa wanafanya sex,na hayo si mapenzi.
Wanadamu tuna mapenzi, mtu kumpenda mwenzie,kwa wanadamu sex iko ndani ya mapenzi. mwanadam si kama hao mbwa uliowasifia.
Huwa wanatiana vizuri lakini![emoji53][emoji53][emoji53]Mmmm nilivyokua sipendi mbwa
Ongera!but hili sio jukwaa la ujenzi!![emoji1][emoji23] mtoa mada unazingua yaani mm nawaza na kuumiza kichwa kutafuta engineer uingereza aje kunijengea ghorofa la thamani ya bilioni 2 halafu wewe unawaza kuhusu mbwa kufanya mapenzi....