JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,957
Wangekuwa watu mngesema uchawi, kumbe ni jambo la kawaida tu kunatiana.Hapo vip!!
Leo katika pita pita zangu nikawakuta watu wanashangaa mbwa wawili walionatiana tokea asubuhi mpaka jioni.
Duh!!nikagindua Katika wanyama wote anayefaidi penzi sana ni mbwa,wengine wote mbwembwe tu mapenzi tumuachie mbwa.
Hivi kuna mnyama mwingine anayemzidi mbwa kwa kufanya mapenzi kwa muda mrefu?