Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Mtu msafi katika wote hapo Mimi nadhani ni huyu Kafulila wa Escrow ,Japo sioni CCM wakimkubali kirahisi ila ni mtu pekee ambae ataweza kurudisha imani ya Chama kwa wananchi.Huyu dogo ndio kete pekee ya CCM kupata ushindi wa sunami.
Kafulila ni kweli lakini atahitajika kupewa nafasi ambayo Wananchi watamwona kwa ukaribu kama UWaziri kwa miaka 5, hivi
 
Mtu msafi katika wote hapo Mimi nadhani ni huyu Kafulila wa Escrow ,Japo sioni CCM wakimkubali kirahisi ila ni mtu pekee ambae ataweza kurudisha imani ya Chama kwa wananchi.Huyu dogo ndio kete pekee ya CCM kupata ushindi wa sunami.
Mpeni yoyote kutoka hawa nchi itaenda mbio.

1. Mwigulu
2. Makamba
3. Kafulila
4. Makonda
5. Tulia
6. Jerry
7. Polepole
 
7. Rais ajae atakuwa ni mkristu kwa desturi ya kuachiana wakristo na Waisilamu na huenda akatoka Kanisa Catholic kama kawaida kwani ndio taasisi yenye kundi kubwa na lenye ushawishi zaidi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

1. Bashungwa
2. Kafulila
3. Makonda
4. Mpango
 
Makonda ni wa Kawe Kwa Mwamposa
 
hivi jiwe ni nini hasa kilimkuta ndugu yangu?
 
Sio mnapata Rais ambae anapenda anasa na mambo ya kujikweza,
Tupate mtu ambae atakuwa kwaajili hana mambo makubwa na ni mtu anayeridhika na anachokipata
Rais wa Tanzania huwekwa na Mungu mwenyewe
 

2030 Watiania ni hawa,

CCM,

1. Makonda wakwanza kuchukua fomu

2. January wapili kuchukua fomu

3. Mwigulu watatu kuchukua fomu

4. Mwinyi wanne kuchukua fomu

5. Tulia watano kuchukua fomu

6. Polepole ndani

7. Kafulila ndani

8. Biteko ndani

9. Bashungwa ndani

10. Jaffo ndani

12. Aweso ndani

13. Mchengerwa ndani

14. Makame ndani

15. Nape ndani

17. Bashe ndani

UPINZANÍ

Zitto ndani
Lissu ndani
Mbowe ndani
Heche ndani
Mnyika ndani


Wenye hizi Sifa ,

CCM,

Polepole,
Kafulila
Bashungwa
Makonda

Upinzani,
Lissu
Mnyika

Kazi kwenu.
 
Polepole,***huyu ni Mkatoliki?
Kafulila
Bashungwa
Makonda
 
Mwigulu na Mwinyi ni wakatoliki?

Wakatoliki ni hawa,

Bashungwa
Jerry Silaa
Kafulila
Tundu Lissu
Makonda
Mange Kimangi anasemaje kuhusu Hawa makada na wenzi wao?
Mtu Kama kafulila ndoa imemshinda, ulishawahi kuona ikulu hakuna festiledi? Wageni watapikiwa chai na nani? Unataka rais awe anabadilisha wanawake ndani ya Ikulu? Futa Hilo jina weka la Makamba.
 
Kwani Makamba ni Mkatoliki?
Mambo ya ndoa nadhani hata Mkapa na Magufuli yaliwashinda still walikuwa Viongozi wazuri tu.
Mtu kama anauwezo sio sawa kumuhukumu kwa maamuzi ya mwenza wake.
 
Nilipenda utaratibu wa CCM kuandaa viongozi kabla ya muda.
Miaka hii hakuna kuandaana ni kuandaa noti tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…