Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Kwani Makamba ni Mkatoliki?
Mambo ya ndoa nadhani hata Mkapa na Magufuli yaliwashinda still walikuwa Viongozi wazuri tu.
Mtu kama anauwezo sio sawa kumuhukumu kwa maamuzi ya mwenza wake.
1. Makamba ni mkatoliki
2. Mkapa aliingia ikulu na mke wa ndoa tena mzuri tu.
3. Ina maana wewe humfahamu Janet almaaruf mama Jesca,?
 
1. Makamba ni mkatoliki
2. Mkapa aliingia ikulu na mke wa ndoa tena mzuri tu.
3. Ina maana wewe humfahamu Janet almaaruf mama Jesca,?
Sikuwahi kujua kama Makamba ni Mkristo Mkatoliki,Asante kwa taarifa

Sasa Mwanamke akikutaa na akakupa talaka wewe unafanyaje?
Mambo ya ndoa Yana mambo mengi ndani yake,
 
Mwigulu na Mwinyi ni wakatoliki?

Wakatoliki ni hawa,

Bashungwa
Jerry Silaa
Kafulila
Tundu Lissu
Makonda
Msitupoteze kipropaganda, Rais tunambadili 2025 ndio kuna uchaguzi. Mnapotaja 2030 ni kama vile tayari tunaye Rais 2025 wakati hatuna bado!
Halafu ni ujinga kumtaja Makonda kwenye orodha hiyo, hii nchi hata kama ujinga umetamalaki lakini sio kwa kiwango cha ujinga huo wa kuweza hata kumfikiria tu
 
Kwakweli awamu ijayo yetu wakatoliki
Awamu ijayo yenu wakatoliki kwani umeskia nchi hii ni hati miliki ya VATICAN??

KUTAKA KUONGOZA NA KUIBA TUH,WAKATI UHURU UNAPIGANIWA NCHI HII NA WAISLAM AAAH WALA HAMKUONA HILO,MLIKALIA KULA ZENU KITI MOTO TUH
 
Kwani awamu ya waisilamu si ni hii!!
 
Awamu ijayo yenu wakatoliki kwani umeskia nchi hii ni hati miliki ya VATICAN??

KUTAKA KUONGOZA NA KUIBA TUH,WAKATI UHURU UNAPIGANIWA NCHI HII NA WAISLAM AAAH WALA HAMKUONA HILO,MLIKALIA KULA ZENU KITI MOTO TUH
Takbiiiiirrrr.......haina haja ya povu...
images.jpeg-175.jpg

Malizeni kusikiliza taarabu zenu mwigine aweke kaseti yake
 
Back
Top Bottom