Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Awamu ijayo yenu wakatoliki kwani umeskia nchi hii ni hati miliki ya VATICAN??

KUTAKA KUONGOZA NA KUIBA TUH,WAKATI UHURU UNAPIGANIWA NCHI HII NA WAISLAM AAAH WALA HAMKUONA HILO,MLIKALIA KULA ZENU KITI MOTO TUH
Hatimiliki ya kadinali Pengo
 
Na awe hajazidi miaka 30 to dste

Time for youths to take charge
 
Takataka umepoteza muda
Afadhali ungeenda kuangalia fainali za euro
Pinga kwa hoja. Mtu kapoteza muda wake, kakaa kafikiria kaja na hoja zake ambazo zinaweza kuchangia kwa namna moja au nyingine kuleta maendeleo ya taifa.

INATOKEA TAKATAKA MOJA AMBAYO HATA KUANDAA UZI WA NAMNA YA KUSONGA UGALI HAIWEZI! AFU INAKASHFU👎👎
 
Hapa ingekuwa Uzi wa umbea wangejaa sana ila mambo kuhusu Taifa lao nooo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…