Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Kafulila,Makonda ,Polepole,Jerry
 
Majaliwa
Nape
Dkt Slaa
Tundu Lissu
 
Sawa
 
Kwanza, lazima kama Taifa tukubaliane kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030 Watanzania watataka rais wa kupambana na rushwa na ufisadi hili halina ubishi kwa walio wengi.

Ushauri wa Bure,

Chukua Mpina,
Chukua Kafulila
Chukua Silaa
Chukua Polepole

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†Ufisadi kwisha
 
Mpina hapo mtoe yule ni hasira za kukosa Uteuzi sio mtu anamaanisha kupambana na rushwa
 
Wapeni vijana nchi achaneni na hao wazee hawawez kuwafikisha nchi ya ahadi na maziwa zaid ya kutengenez umasikin katika vizaz vyenu wapeni vijana serikali muone kazi hamtajuta mpeni makonda nchi hamutajuta hata siku moja
 
Kama vipi Mpeni Mr Tumbili atunyooshee hii nchi hata kwa miezi 6 tu
 
Wapeni vijana nchi achaneni na hao wazee hawawez kuwafikisha nchi ya ahadi na maziwa zaid ya kutengenez umasikin katika vizaz vyenu wapeni vijana serikali muone kazi hamtajuta mpeni makonda nchi hamutajuta hata siku moja
1. Lazima kama Taifa tukubaliane kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030 Watanzania watataka rais wa kupambana na rushwa na ufisadi hili halina ubishi kwa walio wengi.

Anakosa Sifa ya kwanza kabisa GSM atabubujikwa na machozi
 
Zaidi sana watanzania wataona sio sahihi kuwa na rais mwanamke mfululizo kwakuwa bado mfumo dume upo na unanguvu hata kama hauonekani.

Betina,out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…